HakikaYaani na anguko la kile chama ni hivihivi kitaanza.
Yamekuwa hayo tena?!Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.
Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.
Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
Wachezaji kama Kibabage,Msonda na Dube kiukweli sio level ya mashindano haya.Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.
Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.
Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
Kibabage amejitahidi sana Leo, ila hawa wajinga Aziz na Dube wamefanya ujinga mwingi sana pale mbele dakika 20 za mwanzo.Wachezaji kama Kibabage,Msonda na Dube kiukweli sio level ya mashindano haya.
Tutaongea mengi lakini ukweli ndo huo.
Na na kama kocha atsendelea kuwatumia, basi sidhani kama hata Christmas ataila akiwa Kocha wa Yanga.
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.
Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.
Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki na Dube.
Dube Day maaamaaaaeeeekeee....Nakubaliana na wewe Azizi alikuwa anaonyrsha mbwembwe siyo mpira wa kushinda mchezo na Dube alikuwa hana habari nini anatakiwa kufanya akiwa kama striker.
Sasa wachezaji kutwa mara wako kwa shilole sjui wako na mobetoKi ndio kacheza chini ya kiwango anaetolewa mwingine kabisaa eti Nzengeli..
NakaziaYaani na anguko la kile chama ni hivihivi kitaanza.