Uchaguzi si lazima ufanyike kama mambo ya msingi hayajafanyika.Haiwezekani, subiri 2030
Naunga mkono hoja, ili hili lifanyike, lazima katiba ifanyiwe minimum reforms kuruhusu hili.Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi, watumishi wa Serikali kusimamia uchaguzi mambo haya yarekebishwe na tukirudi kwenye uchaguzi mambo yote yatakuwa yamerekebika.
Nawasilisha.
Kwani uchaguzi una haraka Gani?Naunga mkono hoja, ili hili lifanyike, lazima katiba ifanyiwe minimum reforms kuruhusu hili.
Sasa kama katiba inaweza kufanyiwa minimum reforms, Kwanini tusifanye minimum reforms tukafanya uchaguzi Mkuu huru na wa haki kisha tukatengeneza katiba taratibu?.
P
Ccm ilikufa na Mwl Nyerere ,ya sasa inamalizika kwa kifo cha hovyo ndo maana hata wanachama wake wapo wapo tu bendera fuata upepo, fikra zimedumaaMuda wa nini? acheni ujinga wenu
Uchoko huo๐ฎ๐คKama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi, watumishi wa Serikali kusimamia uchaguzi mambo haya yarekebishwe na tukirudi kwenye uchaguzi mambo yote yatakuwa yamerekebika.
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja ๐ฏ kama kutakuwa na nia ya dhati kabisa !!Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi, watumishi wa Serikali kusimamia uchaguzi mambo haya yarekebishwe na tukirudi kwenye uchaguzi mambo yote yatakuwa yamerekebika.
Nawasilisha.
Hujaelewa HOJA yake,Yeyote anayetaka kuongeza muda wa rais kukaa madarakani auwawe. Asichekewe hata kidogo.
Tusijaribu kuruhusu uhuni wa aina hii.
CDF na DGIS tumeni vijana wazalendo kumsaka mleta mada.
Walijifanya wajanja wakawadharau wahenga wenye IQ kubwa !Ccm ilikufa na Mwl Nyerere ,ya sasa inamalizika kwa kifo cha hovyo ndo maana hata wanachama wake wapo wapo tu bendera fuata upepo, fikra zimedumaa
Kijana haelewi kuwa ccm chama changu kimeshaikosea Dola na maelekezo tuliyopewa!!NAMBA MOJA AJAYE NCHINI hebu mpe info kijana.
๐Hajui tuna subiri mission iwe executed