Kama JamiiForums ingekuwa shule ya msingi wafuatao wangekuwa boarding

salam hizi unazituma ukiwa mkunazini au kule ushahama
 

Hahahahah dah!
 
😁😁😁 huyu rafiki yangu yupo sema jina analotumia gumu sana hata silikumbuki

Amefanya makusudi hivyo kujificha...

Acha adhma yake itimie.

Vyema kila mtu afanye vile roho inapenda.

Yote heri, ukimuona msalimu.
 
Binafsi, sijaelewa hiyo BOARDING una maanisha nini, au unataka KULINGANISHA na nini?
 
Yna2 akikosa Bando anakuaga kama broiler lililofikisha siku chache litolewe kwenda kuuzwa

Anapata ugonjwa usio julikana,simu inakua chungu,1 haikai mbili haikai JF ndio nyumban kwake

na sebleni kwake na hivi ni mpenda kukaa ndani ndio kabisaa JF itabaki kuwa uwanja wake wa kujidai.
 
@Zero Iq huwa namuelewa Sana kwenye nyuzi zake, wengine Ni deep pond
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani ulivyonielezea..Mungu wangu...mule mule...😍😍...umetisha saaaanaaa
 
Huyo ulomwandika inathibitisha ni ww coz ulomtaja sio mchangiaji mzuri Ila yupo tu ili watu wamjue yeye comment zake hata thread ya msiba ni kusema watakuja kukupa mwongozo au ahsante kwa taarifa

Yupoyupo tu ko umeamua uje kwa I'd nyingine ujisifie utumbo ,shida kweli kweli
 
Smart911 unaitwa huku
 
This means a lot Eyce

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…