Kama JamiiForums ingekuwa shule ya msingi wafuatao wangekuwa boarding

Kama JamiiForums ingekuwa shule ya msingi wafuatao wangekuwa boarding

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
JF Stand up, put your hands up
Kuna watu umu wamekua na consistence yakuepo (online) na kuwa wachangiaji wazuri katika nyuzi mbali mbali hapa chamani kwetu JF. Members hawa wenzetu kiukweli wana-keep the place alive.

Binafsi Smart911 namwona ni JF Member ambaye yupo JF boarding( ila tu kama JF ingekua ni shule).
Wangu mimi ni huyu, wewe nani mara zote uwa unamauona online( JF boarding). M-metion ajue kuwa unamuona unamuona ~ suddybrown voice
 
Asilimia 90 ya memba wanaochangia nyuzi za;
1. vyakula
2. Selfika
3. Vituko mitandaoni
4. Mimi ningekuwa day scholar ila MMU ni tuition kama ilivyokuwa tuition ya kwa Machange miaka ileee basi ningekuwa boarder wa MMU 😁.
 
Back
Top Bottom