GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
🥺🥺🥺🥺Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo.
Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni Mafundi mbalimbali wa hili Gari ambalo kiukweli ni Bovu na haliaminiki kabisa kuweza Kutuvusha pale Darajani NEKI Oktoba, 2025 tutakapo safiri nalo. Na bahati mbaya ni kwamba Mafundi wenyewe wanaoliengeza kutwa ni hawa akina Lucas Mwashambwa je, tutafika?
Kama vipi Sisi Abiria ambao tunajitambua tuanze Kulikataa mapema tu ili libadilishwe upesi kabla ya hiyo Mwakani.
Nishukuru mno tu GENTAMYCINE niliyekuwa Mkufunzi (Tutor) wako pale Chuoni Ilala vinginevyo ulikuwa unaenda Kufeli.Unaweweseka sana wewe. Nakupa pole na kukushauri uonane na wataaluma wa Saikolojia. Kinachokusumbua Tangia awali ni chuki zako binafsi,ukabila,ukanda na ujinga uliokujaa kichwani mwako.
Fundi mwenyewe tu ni huyu Lucas Mwashambwa na Mwenzake ChoiceVariable unategemea Gari lisipinduke Kitonga?Gari limeanza kuchemsha likiwa Garage na mafundi wanaforce lifanye safari
Mtaota sana ,mlisema hamalizi miaka 3 ,huu ni mwaka wa 4.Fundi mwenyewe tu ni huyu Lucas Mwashambwa na Mwenzake ChoiceVariable unategemea Gari lisipinduke Kitonga?
Usilinganishe Chato na vitu vya kijinga.Bora gari la kule kizimkazi kuliko like la chato
Hilo gari ni bovu halifanya kupanda binadamuNa Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo.