Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo.

Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni Mafundi mbalimbali wa hili Gari ambalo kiukweli ni Bovu na haliaminiki kabisa kuweza Kutuvusha pale Darajani NEKI Oktoba, 2025 tutakapo safiri nalo. Na bahati mbaya ni kwamba Mafundi wenyewe wanaoliengeza kutwa ni hawa akina Lucas Mwashambwa je, tutafika?

Kama vipi Sisi Abiria ambao tunajitambua tuanze Kulikataa mapema tu ili libadilishwe upesi kabla ya hiyo Mwakani.
 
🥺🥺🥺🥺
 
Unaweweseka sana wewe. Nakupa pole na kukushauri uonane na wataaluma wa Saikolojia. Kinachokusumbua Tangia awali ni chuki zako binafsi,ukabila,ukanda na ujinga uliokujaa kichwani mwako.
 
Nishukuru mno tu GENTAMYCINE niliyekuwa Mkufunzi (Tutor) wako pale Chuoni Ilala vinginevyo ulikuwa unaenda Kufeli.
 
Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo.

Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni Mafundi mbalimbali wa hili Gari ambalo kiukweli ni Bovu na haliaminiki kabisa kuweza Kutuvusha pale Darajani NEKI Oktoba, 2025 tutakapo safiri nalo. Na bahati mbaya ni kwamba Mafundi wenyewe wanaoliengeza kutwa ni hawa akina Lucas Mwashambwa je, tutafika?

Kama vipi Sisi Abiria ambao tunajitambua tuanze Kulikataa mapema tu ili libadilishwe upesi kabla ya hiyo Mwakani.
Hilo gari ni bovu halifanya kupanda binadamu
 
Back
Top Bottom