GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo.
Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni Mafundi mbalimbali wa hili Gari ambalo kiukweli ni Bovu na haliaminiki kabisa kuweza Kutuvusha pale Darajani NEKI Oktoba, 2025 tutakapo safiri nalo. Na bahati mbaya ni kwamba Mafundi wenyewe wanaoliengeza kutwa ni hawa akina Lucas Mwashambwa je, tutafika?
Kama vipi Sisi Abiria ambao tunajitambua tuanze Kulikataa mapema tu ili libadilishwe upesi kabla ya hiyo Mwakani.