Kama jeshi la Polisi halijui Public figure kama Askofu Gwajima alipo basi kuna mapungufu makubwa

Kama jeshi la Polisi halijui Public figure kama Askofu Gwajima alipo basi kuna mapungufu makubwa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwamba hayupo nchini?.Yupo nchini? Jeshi la Polisi lenye dhana na askari polisi wenye mafunzo ya hali ya juu hawajui Askofu Gwajima yupo wapi?

Kwamba hawana uwezo wa kupata taarifa mtu maarufu kama huyu yupo wapi?

Hadi leo wanamtafuta kwa uchochezi?

Je wataweza kujua vibaka na wavuta bangi walipo?
 
ASKOFU GWAJIMA TAFADHALI USIRUDI TANZANIA HUKU KUNA WAHUNI TU NA MAGENGE YA POLISI TAFADHALI
 
Lila na fila
IMG-20251130-WA0033.jpg
 
Na hayana hata aibu kujitangaza eti tuna riinterijensia ra maana tutayafikia maharifu, so disgraceful to the nation and their families yani
 
Back
Top Bottom