Yani mwenyewe huku zimepanda jirani,em du zenidfulJirani zimepanda!!..Inakuwaje sasa
Ahh yule bwana mdogo na wewe si ndiyo wale wale tu ???Sukari yao ni Daby Bro..Ameshafagia karibia wote humu
Teh teh..Brother unataka kunifunga naona
Mweeh pana ugumu gani tena jamani?Yaan RRONDO wala hujakosea hao watu ni wife material kweli ebu piga ana ana do kwa ndugu zangu hawa wawili sakayo na emmyta ikiangukia kwa mmojawapo muwowe wapo single hao [emoji12] ila kwa mama heaven sent hapo pagumu ujue
ShemejiiiiiiiTeh teh teh!
Braza naona umewawaza sana hadi ukawafungulia uzi.
Weee Heaven Sent unapendwa na RRONDO bwana!
Teh teh awokoke kipaumbele cha kwanza mzima jamaanMweeh pana ugumu gani tena jamani?
Network my dear, nilikuwa mbali kidogo na ulimwengu huu.And why did u take so long to respond?
Heshima yako madamNetwork my dear, nilikuwa mbali kidogo na ulimwengu huu.
Haha wacha fujo. Me mzima kabisa kipenzi, sijui weweTeh teh awokoke kipaumbele cha kwanza mzima jamaan
Nimeipokea my dear. Vipi mzima wewe? ulimissika kwa kweli na nduguyo MBITIYAZAHeshima yako madam
Me mzima sana sana namshkuru MunguHaha wacha fujo. Me mzima kabisa kipenzi, sijui wewe
Yaani hadi hali ya hewa imependeza humu ndani kwa uwepo wake tu"atimae umeludi kalibu tena"
Wabheja mama"atimae umeludi kalibu tena"
Ndo Nimerudi hivi my dear. Nilimiss vurugu zenu khaaaMbiti hajambo wewe ndo umeadimika jomoniii
Yaani hadi hali ya hewa imependeza humu ndani kwa uwepo wake tu
Za poliooooooooo hahahahaaaaaaaWabheja mama
Ndo Nimerudi hivi my dear. Nilimiss vurugu zenu khaaa