Anakoroma Mimi niko na kisimuu changu hapa hapa.Saa hizi ulitakiwa uwe unambembeleza babu kulikoni?
Hutaki ujulikane eeeeh ngoja nika create thread ingine ya list ya majina 10 ya wife material nione kama hyo ndoto yko itaendelelea kutimia Miss Natafutanaona ndoto yangu inatimia