Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
Missing you more.Niambie mume wangu, miss you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missing you more.Niambie mume wangu, miss you.
Usisahau ahadi ni deni...Hahaha
Njoo uchukue Konyagi
Halooo[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]Niambie mume wangu, miss you.
Hivi umeona kufru aliyoitenda dhidi yangu hapa?
Na hii kufru inalazimika damu imwagike ili sadaka ikubalike kwa AllahHivi umeona kufru aliyoitenda dhidi yangu hapa?
Huyu ni wa kuhukumiwa na Kaisari... Pilato atachinja atupe gharama za mazishiMimi kweli mm wa kunichanganya hiv?[emoji87] [emoji87]
Badamu batachuruzika leo[emoji20] [emoji19] [emoji19]Na hii kufru inalazimika damu imwagike ili sadaka ikubalike kwa Allah
Kwa hiyo pilato amkabidhi kwa wayahudi wamhukumu kwa sheria yao sio... ngoja maandalio ya sabato yapiteHuyu ni wa kuhukumiwa na Kaisari... Pilato atachinja atupe gharama za mazishi
Kwa hiyo pilato amkabidhi kwa wayahudi wamhukumu kwa sheria yao sio... ngoja maandalio ya sabato yapite