Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Ukitaja mume wako apa ebu usinitaje pamoja na wengine hakuna mwanamke mwenye wanaume zaid ya mmoja..sawasawa? Haya upesi sema mumeo apa nani na uwa CC hao "wengine" [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Abeee mpenzi!!
 
Teh, you two though.....
RRONDO kaniambia namchukia hadi nikisikia kafa nitafanya sherehe jamani!!
Sijui ndio maana hajanisifia hapa, hivi nilivyo mpole, mstaarabu busara ndio usiseme, mtoto wa watu nimelelewa nikaleleka! (hii inaitwa sifa jipe mwenyewe ukimsubiri RRONDO atakwambia like dota like dad[emoji33][emoji33][emoji33])
 
Haha nyie ni waarabu wa pemba....
 
Back
Top Bottom