Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hongera dada yangu.Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi, hawa wanawake watatu ningefanya jitihada zote za hali na mali nioe mmoja wao.
Hawa ni definition ya wife material, Heaven Sent [color=red]emmyta[/color] Sakayo mmebarikiwa hekima.
Mara moja moja tupost vitu vyenye positive energy na sio kila siku kuzungumzia vitu negative.
Live long!!!