RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #61
Sawa.Usichuuzike na picha, maneno, hekima za sauti, busara za sauti utaumia, hivi sio vipimo halisi vya wife material.
Mwanamke ni yuleyule Jana Leo na kesho toka maandiko na mpaka mwisho, wakiandikacho wakinenacho sicho kilichoujaza mioyo yao.