Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Yaan RRONDO wala hujakosea hao watu ni wife material kweli ebu piga ana ana do kwa ndugu zangu hawa wawili sakayo na emmyta ikiangukia kwa mmojawapo muwowe wapo single hao [emoji12] ila kwa mama heaven sent hapo pagumu ujue
 
Ahsante sana RRONDO kwa kuniona ni mmoja kati ya wanawake waliobarikiwa hekima ndani ya jf.

Sina budi kumshukuru M'Mungu aliye juu kwa kunifanya niwe mmoja kati ya wanawake walio bora na wenye kujitambua katika hii dunia.

Ahsante sana. Barikiwa mno RRONDO

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] hongereni jamaan halaf sakayo avatar umeshabadili tena hivi unataka kuvumbua niniiiii
Asante mnoo mkuu RRONNDO kwa kuliona hilo, hakika sio mie ni Mungu tu ndo naweza kusema hivyo!!!

Barikiwa mnoo, na Mungu azidi kukutunza naamini kijiji unamoishi yupo wa ndoto zako sema wakati bado haujafika!!!!
 
Ahsante sana RRONDO kwa kuniona ni mmoja kati ya wanawake waliobarikiwa hekima ndani ya jf.

Sina budi kumshukuru M'Mungu aliye juu kwa kunifanya niwe mmoja kati ya wanawake walio bora na wenye kujitambua katika hii dunia.

Ahsante sana. Barikiwa mno RRONDO

Shikamooo
 
Back
Top Bottom