Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

ha haha nimekudaka mahali muone kwanza .. ile hela basi hukutuma siku ukiingia mikononi mwangu yani utajuta
Nitatumaje bila namba ya simu. Nipe namba ya simu!
 
Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi, hawa wanawake watatu ningefanya jitihada zote za hali na mali nioe mmoja wao.

Hawa ni definition ya wife material, Heaven Sent emmyta Sakayo mmebarikiwa hekima.

Mara moja moja tupost vitu vyenye positive energy na sio kila siku kuzungumzia vitu negative.
Naomba umeamua kufunguka sasa, umefanya vizuri
 
Asante mnoo mkuu RRONNDO kwa kuliona hilo, hakika sio mie ni Mungu tu ndo naweza kusema hivyo!!!

Barikiwa mnoo, na Mungu azidi kukutunza naamini kijiji unamoishi yupo wa ndoto zako sema wakati bado haujafika!!!!
 
Amina.
 
Usichuuzike na picha, maneno, hekima za sauti, busara za sauti utaumia, hivi sio vipimo halisi vya wife material.
Mwanamke ni yuleyule Jana Leo na kesho toka maandiko na mpaka mwisho, wakiandikacho wakinenacho sicho kilichoujaza mioyo yao.
 
Slick way to break the ice, man. Now.....

steph-curry1-640x440.jpg
 
Asante mnoo mkuu RRONNDO kwa kuliona hilo, hakika sio mie ni Mungu tu ndo naweza kusema hivyo!!!

Barikiwa mnoo, na Mungu azidi kukutunza naamini kijiji unamoishi yupo wa ndoto zako sema wakati bado haujafika!!!!
Wa ndoto zake si ndo wewe sasa ameshakutaja..
 
Back
Top Bottom