Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini.

Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk.

Huku ndio kwenye makazi ya maraisi, mawaziri, wabunge na watu wenye neema zao. Cha kusikitisha Jimbo hili halina maji ya Uhakika.

Huyo mama yenu mnayemsifia sana kwamba ameupiga mwingi, ameshindwaje ku provide maji ya Uhakika kwenye Jimbo hili la walipa Kodi wakubwa?

Kama kwa hapa TU, hali iko HIvi, vipi kwa majimbo ya huko pembezoni?


Kataa uchaguzi, usiende kupiga kura. Susia uchaguzi kwa nguvu zako zote.
 
Muongozo wa kampeni ni ilani ya uchaguzi ya Chama husika
Sjajua kama unanielewa nachozungumza mkuu.


Nachosema yeye kipindi cha kampeni alimponda sana mdee, lakini vitu alivyomponda hata nayeye amekwama

Ndo niliposema "ahadi zake za kampeni"
 
Sjajua kama unanielewa nachozungumza mkuu.


Nachosema yeye kipindi cha kampeni alimponda sana mdee, lakini vitu alivyomponda hata nayeye amekwama

Ndo niliposema "ahadi zake za kampeni"
Mbunge anatoa pesa mfukoni kutatua changamoto za Jimbo?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mbunge anatoa pesa mfukoni kutatua changamoto za Jimbo?
buda naunga mkono yote uliyoyasema.

mimi nimekumbushia 2020 wakati anapiga kampeni yeye alitumia hoja hizo na akatoa ahadi -- ambazo nayeye kachemka pia kwa muktadha huo unaosema wewe, na bila shaka hada mdee alikua akimjibu hivyo
 
Back
Top Bottom