Kama Jina la Filbert Bayi Linawakwaza Liondolewe ~ Bayi

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
1724582996130.jpeg

MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara.

Tangu nianzishe Shule hii ya Filbert Bayi changamoto kubwa tunayo kumbana nayo ni barabara kupitika kwa taabu.

"Inafika wakati natamani kusema kama tatizo ni hili jina langu ndiyo linasababisha hii barabara kutotengenezwa basi waliondoe huenda kuna watu linawakwaza lakini wakumbuke hii siyo njia yangu binafsi huku kuna wanafunzi ambao wanapitiwa kutoka Shule tofauti ,wanajeshi na wananchi wa kawaida wote wanatumia njii hii" amesema Bayi.

Meja Mstaafu Bayi amesema hayo Agosti 24 katika mahafali ya darasa la saba ya Shule ya Msingi Filbert Bayi iliyopo Kimara na Shule ya Msingi na wanafunzi wa Kidato cha nne wanaosoma Shule ya Filbert Bayi iliyopo Mkuza Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

"Nimesha fanya jitihada binafsi miaka yote tangu Shule hii ilipoanza 2006 hadi sasa ikiwa ni pamoja na kuweka mawe kwenye barabara kuchonga kwa kupitisha greda lakini sasa hivi nimechoka sababu hii siyo njia yangu binafsi" amesema Bayi.

Bayi ameongeza kwa kusema kuwa mbona zipo barabara nyingi za watu mashuhuri nyingi zinafanyiwa matengenezo kwanini hii yenye jina la Filbert Bayi haithaminiwi?amehoji Mwanariadha aliyevunja rekodi ya Olympic na Meja Mstaafu wa JWTZ.

Bayi ameongeza kwa kusema kuwa Kamati ya Bunge ambao walitembelea Shuleni hapo hivi karibuni walikwama kwenye barabara hiyo na wakampigia simu Meneja TARURA, anashukuru wananchi wamepaza sauti zao TARURA wamemwaga kifusi na kusisitiza wajitahidi kufanya matengenezo katika barabara hivyo kwani utabiri wa hali ya hewa wametoa tahadhari kuna mvua zitanyesha hivi karibuni.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo Kaimu Mkurugenzi Fedha na Utawala Chuo Cha Diplomasia Jacob Nduye amewaasa wanafunzi waliohitimu kuishi kwa kumtanguliza Mungu, kuwa na heshima na utii na kuzidisha juhudi ya msingi bora waliopatiwa shuleni hapo sambamba na kuendeleza sofa njema ya Shule hiyo kwani kuna rekodi ya wanafunzi waliohitimu shuleni hapo wengi wamepata nafasi nzuri katika ngazi za serikali na sekta mbalimbali.
Bayi anashikilia rekodi ya kukimbia KM1500 katika michezo ya Jumuia ya Madola ya mwaka 1974 aliposhinda Medali ya dhahabu.

Aidha Filbert Bayi ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania (TOC) na hivi karibuni Agosti 6 mwaka huu amepewa heshima ya kuwa miongoni mwa wanariadha nyota waliovunja rekodi za dunia. ambapo Rais wa Shirikisho la Riadha Duniani Lord Sebastian Coe ndiyo aliandaa hafla hiyo na Bayi amejumuishwa rasmi kwenye jumba la Makumbusho la wanariadha nguli Duniani iliyopo Jijini Paris nchini Ufaransa.
 
View attachment 3078813

Mke wake alifariki jamani.
I wish him well kwa kweli
 
Mbona barabara nyingi tu katika nchi hii kamwe hazijawahi kutengenezwa wala kukarabatiwa, kwa nini yeye halalamikii kuhusu barabara hizo badala yake analalamika kuhusu barabara ya kwenda shuleni kwake tu??? Huu ni ubinafsi.
Aidha, zaidi ya takribani asilimia sabini (70%) ya nyumba zote kabisa zilizopo katika Mkoa wa Dsm hazifikiki kwa barabara zaidi ya kufikika kwa njia za watembea kwa miguu za vichochoroni, mbona na suala hili nalo halilalamikii??
 
Anamtisha nani?
Mtaani kwetu wenye usafiri tunajichanga na kumwaga vifusi na moram ni kipande cha 1km.
Sasa yeye anataka ajengewe mwenyewe kama nani?
 
Anatukwaza kung'ang'ania kuwa kiongozi wa kamati ya Olympic miaka nenda Rudi bila mafanikio yoyote ni afadhali wasitengeneze hiyo njia
Huyu mzee angekuwa mzalendo angeachia hiyo nafasi kabisa.

Ni kwavile tu uwepo wake hapo labda unampa nafasi ya kutimiza azima yake ya kuwa ni yeye tuu atakayesifiwa kwenye riadha Olympic mpaka atakapokufa.
 
Back
Top Bottom