Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
- Thread starter
- #41
Tatizo mawaziri wote wanaoingia madarakani anawalambisha pesa...kimyaaaaa...! kwa ahadi za safari za nje na mlungulaboard ya Olympic huyu mzee atoke sasa
ame chukua pesa za wafadhili vijana wa vipaji wengi sana. kawaludisha with nothing.
waanze upya na watu wapya.
huyu mzee ni shida kubwa kwenye maendeleo ya michezo yetu. Ana connection ila anakunja watu wasitoboe.