Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
- Thread starter
- #21
Umenena ya kweli kabisa, mbinafsi kupitiliza.amefilisi board ya Olympic huyu mzee tapeli tu.
ame chukua pesa za wafadhili vijana wa vipaji wengi sana. kawaludisha with nothing.
watu wamteme kama vipi. waanze upya na watu wapya.
huyu mzee ni shida kubwa kwenye maendeleo ya michezo yetu. Ana connection ila anakunja watu wasitoboe.