Kama Jina la Filbert Bayi Linawakwaza Liondolewe ~ Bayi

Umenena ya kweli kabisa, mbinafsi kupitiliza.
 
Ni mshirikina hatari anaogopwa. Ukimjaribu unakwenda unamuacha yeye..
 
Serikali huwa ina mpango wa kujenga kwa lami barabara za mtaani??
 
Kumbe alifikia kuwa Meja wa TPDF? Najua aliposhinda michezo ya OAU mwaka 1972 alipewa cheo cha sajenti
 
Daddy Bayi mtu poa sana waliopitia kwake tangu inaitwa St marys watakuwa wanakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…