Kama Jina la Filbert Bayi Linawakwaza Liondolewe ~ Bayi

Tatizo mawaziri wote wanaoingia madarakani anawalambisha pesa...kimyaaaaa...! kwa ahadi za safari za nje na mlungula
 
Huyu mzee akachume mboga tu
Ana faida gani katika michezo ya Taifa?
Hakuna waliopata hata silver
Mbio zake zimesaidia nini nchi
Huyu ndio ilikuwa apiganie viwanja vya michezo vya shule visiuzwe na kuhimiza michezo ila wapi
Hicho cheo kimesaidia nini
Aache lawama
 
Serikali huwa ina mpango wa kujenga kwa lami barabara za mtaani??
Ndiyo, Ila kwa baadhi ya Mitaa fulani fulani tu iliyopo maeneo fulani fulani kama vile Mitaa iliyopo eneo la Oyster Bay, and the like.
Aidha, kwa Serikali za nchi za wenzetu hilo ni jambo la kawaida kabisa, kwanza inakuwa ni kitendo Cha kushangaza huko kukuta Mtaa ambao una barabara za vumbi, kila Nyumba au jengo lililopo kwenye kiwanja kilichopimwa (surveyed land) ni lazima ifikike kwa barabara ya lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…