Kama JKT Ruvu wanawafanya Yanga hivi hakuna hatua, basi tujiandae na mengi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kamanda jm unamengi yakufanya juu yahizi timu za jeshi na polisi,,mwanzoni tuliona si mbaya tukawajumuisha ligi leo hii kama hutochukua hatua za haraka kuna siku utaitwa muhimbili kuchukua maiti ya mchezaji

ujingauliofanywa nabeki waruvu as attached sidhani kamakunahaja yakumdiscuss refa zaidi yakumwondoa nakuwaonya wasimamizi wake nakumpa adhabu kali mchezaji awe onyo,,,


nilisema mwanzoni wanapiga marefa tunakaa kimya watatushika makalio waanzepiga nawachezaji nahiko ndiko kinaendelea ligiyetu busara ikutqngulie kuwadhibu
 

Attachments

  • IMG_20150120_164626.jpg
    34.1 KB · Views: 811
  • IMG_20150120_164618.jpg
    36.5 KB · Views: 784
  • IMG_20150120_164558.jpg
    37.8 KB · Views: 789
Bwire anasema huu ni mchezo wa kiume, siyo kuuza mayai!
Acha kuchangia ujinga wewe!!! hapa sio facebook hapa tunaelimishana na tunabadilishana mawazo, watu wengine bhana sijui wakoje hawa????
Kunyofoana shingo ndo mchezo wa kiume huo!! wachezaji kama hawa wasifumbiwe macho lazima wawajibishwe ili liwe funzo kwa wengine,, hivi huyu mchezaji aliambiwa hivi na kocha wake kuwa akifika uwanjani akawapige ngeta wachezaji wa timu pinzani????
 

Pole mwanajangwani...
 
Yanga wajifunze kugangamala na wao. Mbona timu nyingine zimecheza na hao wanajeshi tangu mwanzo wa ligi na hawakulalamika?
Yanga kama wangeshinda wala kusingekuwa na hizi kelele za undava wa wanajeshi. Soka ni mchezo wa kiume, kama hamtaki mikiki kachezeni gofu.
Ova
 

Duu, mimi sishabikii soka la bongo lakini kimchezo haiko hivyo ndugu, soka ni mchezo unaosimamiwa na sheria 17, mtu akifanya kosa anapaswa kuadhibiwa sio kwamba eti mtu,au timu nyingine haijawahi fanyiwa hilo kosa. Ulichoandika wewe hapa ni ushabiki lakni mchezo wa mpira wa miguu hauna hayo uliyoyasema. Mchezo ni burudani nguvu tu bila akili itakufikisha wapi?
 
Tunzsubiri uchunguzi kuu
 

Ndio ulitaka kueleza nini hapa? Kama kulikuwa na kosa basi mwamuzi angeamua kutoa adhabu tu, si alikuwa na kadi zote, naye ndiye msimamizi wa sheria 17 za soka, sasa kelele za Yanga za nini kama wanajua refa alikuwepo? Ni kuzoa ushindi tu, so wakikosa ushindi wanaanza kutafuta visingizio.
Soka lazima kuwepo na mikiki, kama hutaki mikiki kachezeni gofu.
Ova
 

Nakuunga mkono.. Kuna gemu tulicheza na kandambili, juma seif "kijiko" alimvunja mguu mchezaji wetu baada ya kukimbizwa sana katkat ya dimba. Refa aliishia kumpatia kadi ya njano Kijiko, lakini sisi tukatulia tu.. Leo kandambili wamegongwa gongwa kidogo wanalalamikaa, utadhani mchezaji kafa. Kandambili tulieni tu.
 
Kabisa mkuu! Nakumbuka sana hiyo mechi, nilikuwa uwanjani. Alikuwa Mwinyi Kazimoto huyo na ndio kwanza alikuwa ametua Msimbazi akitokea JKT Ruvu. Siku hiyo alikamata dimba haswa lakini aliishia kucheza kama dakika kumi tu kabla ya Kijiko hajamtoa nje kwa rafu yake ya kihuni kabisa.
Ova
 
Mwaka jana Simba walicheza na Ruvu Shooting na Tambwe akapasuliwa ngeu kichwani kulikuwa hamna kelele za magazeti.
 
Nyie mnaongelea ushabiki wa simba na yanga au mnaongelea maamuzi ya refarii? Hapa Tanzania kwa taarifa yenu hakuna aliyesalama, c wachezaji wala marefa, kuna mechi moja ligi daraja la kwanza tafuteni ile clip muangalie then mtaelewa ninachomaanisha
 
Mwaka jana Simba walicheza na Ruvu Shooting na Tambwe akapasuliwa ngeu kichwani kulikuwa hamna kelele za magazeti.
Kumbe ndugu pamoja na busara zako zote unashadadia haya mambo ya kijinga ya wachezaji kupigana ngeta!!!!!!
Kumbe hili jukwaa bure kabisa.
 
Nidhamu ni sehemu ya mchezo wa soka mchezaji mwenye nidhamu ni kigezo kimojawapo cha ubora wa mchezaji. Nidhamu mbovu hushusha kiwango cha mchezo na uchezaji. Nidhamu ya timu za jeshi imekua ya kutiluwa mashaka kwa kuzingatia wachezaji wa timu hizi wanatoka katika kada zenye kusadikika kua na wafanyakazi wenye nidhamu ya hali ya juu, mwisho wa siku nidhamu ya kada hii itatiliwa mashaka. TFF chukua hatua haya matendo yanayoashiria utovu wa nidhamu.
Watoto wakiiga matendo haya ya kipanya road hatutakua na wachezaji tena hapo baadae bali waporaji na wezi.
 
Kuna uzi alileta Pdidy kukemea matukio ya kupigwa kwa waamuzi, sikumuona kandambili yoyote aliyokuja kukemea hicho kitendo.. Leo ndo mnajifanya mna uchungu na mpira wa Bongo.. Kandambili jaribuni kucheza kotekote japo najua hamuwezi.
 
Last edited by a moderator:
Yule refa hastahili kuchezesha ligi kuu, anafaa kuchezesha mechi za mchangani.
 
Ndo maana mlikuwa nnapaisha mipira juu,badala ya kufunga? Kumbe woga eti!
 
Kumbe ndugu pamoja na busara zako zote unashadadia haya mambo ya kijinga ya wachezaji kupigana ngeta!!!!!!
Kumbe hili jukwaa bure kabisa.

Mkolaj hujanielewa sikusema kwamba kupigana ngeta ni sawa.Ninachosema ni kwamba magazeti yanaamua kuandika kutokana na masilahi yao.Wachezaji wa timu hizi za kijeshi wanacheza kibabe na kutofuata sheria za mpira na hawakuanza msimu huu.Marefa wamewalea kwa kuogopa kutoa maamuzi sahihi. Tutegemee waamke na kufuata sheria 17 za mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…