Kama JKT Ruvu wanawafanya Yanga hivi hakuna hatua, basi tujiandae na mengi

Kama JKT Ruvu wanawafanya Yanga hivi hakuna hatua, basi tujiandae na mengi

Acha kuchangia ujinga wewe!!! hapa sio facebook hapa tunaelimishana na tunabadilishana mawazo, watu wengine bhana sijui wakoje hawa????
Kunyofoana shingo ndo mchezo wa kiume huo!! wachezaji kama hawa wasifumbiwe macho lazima wawajibishwe ili liwe funzo kwa wengine,, hivi huyu mchezaji aliambiwa hivi na kocha wake kuwa akifika uwanjani akawapige ngeta wachezaji wa timu pinzani????

Mkuu mkolaj hayo maneno hajayatamka mdau uliemjibu hapo juu punguza munkari,amemnukuu msemaji wa Ruvu Masau Bwire kwamba "Yanga kama iliingiza mayai uwanjani na hawakutaka yaguswe wao Ruvu waliingia uwanjani kucheza mpira sio kubembeleza mayai"(Masau Bwire 19/01/2015)
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaongelea ushabiki wa simba na yanga au mnaongelea maamuzi ya refarii? Hapa Tanzania kwa taarifa yenu hakuna aliyesalama, c wachezaji wala marefa, kuna mechi moja ligi daraja la kwanza tafuteni ile clip muangalie then mtaelewa ninachomaanisha

Ungetuambia ni game gani ingekuwa vzuri zaidi
 
Kwahiyo hiyo kabari ndio imewafanya mkatoa ndoo?
Jerry Muro acha kutafuta sababu zisizo na msingi kwa kukosa ushindi. Mlitumia strikers wote Mrwanda mliberia javu msuva ngasa continho n huyo tambwe. Kama tambwe alikabwa wengine walikuwa wapi wasifunge??
 
Yanga wajifunze kugangamala na wao. Mbona timu nyingine zimecheza na hao wanajeshi tangu mwanzo wa ligi na hawakulalamika?
Yanga kama wangeshinda wala kusingekuwa na hizi kelele za undava wa wanajeshi. Soka ni mchezo wa kiume, kama hamtaki mikiki kachezeni gofu.
Ova

fibre mind!
 
Kwa kweli ila kabari sio ya uanamichezo kabisa lakini kwa nini naye Tambwe alishindwa kufanya kama alivyofanya jamaa wa Guinea alipopigwa kibao na yule muivory coast, Ningekuwa mimi ndo Tambwe ningeanguka na kugala gala hata umbali wa mita kumi uwanja wenyewe hauna mbigiri na kwa kitendo hicho lazima red ingetoka , tatizo kina Tambwe nao wakajifanya ngangari. Na kingine kilichonichosha zaidi ni kumuita mkimbizi huku ukijua nchi yao ilishawahi kukumbwa na hilo tatizo kiukweli sio ubinadamu hakuna tofauti na wanachofanyiwa wachezaji weusi kwenye ligi za ulaya. Kama ni kweli yule jamaa kamuita Tambwe mkimbizi kuna haja ya TFF kumchunguza na kupewa adhabu stahili.
 
Acha kuchangia ujinga wewe!!! hapa sio facebook hapa tunaelimishana na tunabadilishana mawazo, watu wengine bhana sijui wakoje hawa????
Kunyofoana shingo ndo mchezo wa kiume huo!! wachezaji kama hawa wasifumbiwe macho lazima wawajibishwe ili liwe funzo kwa wengine,, hivi huyu mchezaji aliambiwa hivi na kocha wake kuwa akifika uwanjani akawapige ngeta wachezaji wa timu pinzani????
Ujinga si kuficha maoni ya wengine, ujinga ni kulazimisha wengine wasitoe maoni/mawazo yao. Hayo mawazo tutabadiloshanaje kama hatukujia maoni tofauti ya jambo hilhilo moja? Sijapata kisema kuwa naunga mkono upande wowote kwenye hili, nimetoa tanbihi ya nini wanaoinga mkono wanasema kuhusu jambo hili. Mtizamo wangu kwa Simba na Yanga hakuna asiyeulelwa humu jukwaani.
 
Mchezo wa kiungwana (Fair play) unahusu timu zote. Iwapo kweli kinachodaiwa kilifanyika uwanjani, sote tunapaswa kulaani. Kukabana koo, kutoana ngeu na damu, kuitana majina mabaya si sifa ya mchezo wa kiungwana. Yakiachiwa hivihivi, yaliyomkuta Yanga yanaweza kuwakuta Simba na Azam kesho na keshokutwa. Muhimu sio pointi kwenye mchezo baina ya timu yetu moja na nyengine, bali ni ushindi utaosaidia mshindi wa ligi hiyo kushinda kwenye mashindano ya kikanda na kimataifa. Huko loba, ngeu, kauli chukizi na damu hazina nafasi.
 
Mechi ligi daraja la kwanza kati ya nadhani police moro cjui na timu gani mm niliangalia sports bar ijumaa clouds fm

Kama uliangalia sema kweli, ni wachezaji wa timu gani kati ya Yanga na Ruvu wanaopaswa kuadhibiwa kwa utovu wa nidhamu?
 
Kamanda jm unamengi yakufanya juu yahizi timu za jeshi na polisi,,mwanzoni tuliona si mbaya tukawajumuisha ligi leo hii kama hutochukua hatua za haraka kuna siku utaitwa muhimbili kuchukua maiti ya mchezaji

ujingauliofanywa nabeki waruvu as attached sidhani kamakunahaja yakumdiscuss refa zaidi yakumwondoa nakuwaonya wasimamizi wake nakumpa adhabu kali mchezaji awe onyo,,,

nilisema mwanzoni wanapiga marefa tunakaa kimya watatushika makalio waanzepiga nawachezaji nahiko ndiko kinaendelea ligiyetu busara ikutqngulie kuwadhibu

Ulitakiwa uwe fair ili watu wachangie, hakuna mtu anaependa vitendo viovu michezoni, tatizo umeileta kishabiki, kwanza haikuwa JKT Ruvu ilikuwa ni Ruvu Shooting, hukuona teke Tambwe alompiga mlinzi wa Ruvu wakati hana hata mpira?

Hukuona teke la tumbo alokanyagwa kiungo wa Ruvu na Yondani? Kama uliyaona kwa nini hujayaeleza hapa?
 
Hivi mshawahi kumuona kavumbagu alipokuwa yanga alivyokuwa anacheza kihuni?? niko na some videos nitazirusha soon. Yanga wacheze mpira waache kuwatia u.jinga mashabiki eti wameshindwa kuwafunga Ruvu sababu ya kabari moja.
 
ulitakiwa uwe fair ili watu wachangie, hakuna mtu anaependa vitendo viovu michezoni, tatizo umeileta kishabiki, kwanza haikuwa jkt ruvu ilikuwa ni ruvu shooting, hukuona teke tambwe alompiga mlinzi wa ruvu wakati hana hata mpira?

Hukuona teke la tumbo alokanyagwa kiungo wa ruvu na yondani? Kama uliyaona kwa nini hujayaeleza hapa?
leta picha ya yondani akikanyaga mtu nimwadabishe hapa,,sikokishabiki
 
Hivi mshawahi kumuona kavumbagu alipokuwa yanga alivyokuwa anacheza kihuni?? niko na some videos nitazirusha soon. Yanga wacheze mpira waache kuwatia u.jinga mashabiki eti wameshindwa kuwafunga Ruvu sababu ya kabari moja.
Tunasubirisoonmkubwa
 
Hapa kidogo sijaelewa. Anayecheza kihuni ni Kavumbagu ama Yanga?
 
Tuache ushabiki picha zimeonekana sio za kiuanamichezo kabisa. Mpira ni starehe sio mieleka. Mimi ni msimbazi damu lakini nalaani kitendo alichokifanya huyo beki mshamba mshamba wa ruvu jkt. Kama yondani, kavumbagu, sijui nani walishafanya/walifanya upuuzi kama huo toeni ushahidi nao walaaniwe na kuadhibiwa. Mpira ni starehe bana. Changamoto kwa tff waanze kuchuku hatua stahiki kwa wachezaji kwa utovu wa nidhamu unaibuliwa na waandishi wa habari baada ya mchezo kwisha kama wanavyofanya wenzao ulaya maana mara nyingine marefa hawaoni kutokana na kwenda na kasi ya mchezo
 
Kama uliangalia sema kweli, ni wachezaji wa timu gani kati ya Yanga na Ruvu wanaopaswa kuadhibiwa kwa utovu wa nidhamu?

Mimi sijaangalia mechi though nilipitia taarifa mbalimbali, mchezaji wa jkt ruvu alimdharirisha Tambwe kwa namna mbili kwanza alimkaba koo kama anataka kumuua hili si swala la kimchezo, pili alimbagua Tambwe, kwa maana alimwambia aende kwenye vita, naye Tambwe alifanya kosa la 'kinidhamu" na si la jinai kama mchezaji wa JKT ruvu alivyofanya.
 
TFF wapo bize na mapato ya viingilio, bado hawajui kama kuna mtu amekabwa koo uwanjani.
 
Kamanda jm unamengi yakufanya juu yahizi timu za jeshi na polisi,,mwanzoni tuliona si mbaya tukawajumuisha ligi leo hii kama hutochukua hatua za haraka kuna siku utaitwa muhimbili kuchukua maiti ya mchezaji

ujingauliofanywa nabeki waruvu as attached sidhani kamakunahaja yakumdiscuss refa zaidi yakumwondoa nakuwaonya wasimamizi wake nakumpa adhabu kali mchezaji awe onyo,,,

nilisema mwanzoni wanapiga marefa tunakaa kimya watatushika makalio waanzepiga nawachezaji nahiko ndiko kinaendelea ligiyetu busara ikutqngulie kuwadhibu

Beki KATILI Hahahahahahah ndo kawaida ya mabeki wa mkoani , utaskia tuu majina yao mara Baba UBAYA..Mara Beki KATILI, Mara BURUDOZA.....Kwa hili laTambwe TFF wapeni Yanga point 3
 
Back
Top Bottom