F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Aug 17, 2020 #21 Ni aibu hadi CCM wanakodi wahuni washambulie msafara wa Lissu!! Tena wajijificha kwa gari la police laah
Ni aibu hadi CCM wanakodi wahuni washambulie msafara wa Lissu!! Tena wajijificha kwa gari la police laah
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 13,998 Reaction score 31,757 Aug 17, 2020 #22 RockCarnegie said: Hiyo 'propoganda' ni ya wana lumumba, niijuayo mimi ni 'propaganda'! Click to expand... Hii lugha ya huku kwetu malawi wala sio kwenu mnako pigania matumbo yenu
RockCarnegie said: Hiyo 'propoganda' ni ya wana lumumba, niijuayo mimi ni 'propaganda'! Click to expand... Hii lugha ya huku kwetu malawi wala sio kwenu mnako pigania matumbo yenu
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Aug 17, 2020 #23 Baka kapigwa 8 kipigo cha mbwa koko ...The Great LISSU anakuja