Utaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogoWe nawe jichanganye upewe kinachokufaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmevurugwaa wallahNahisi na wew utakuwa ni mjeda kund kuwasha choko wewe mje mjichanganye kwangu nina mkanda mweusi wa taikondo nitawapiga mpaka niwavuruge mitaro mbwa nyie
Utachapwa uchakae, jichanganye hivyo hivyo alafu ukizidiwa ukabebe kisuUjirekebishe ww jkt ambae uko uko unajitolea huna ajira ww ni mlinzi wa getini mwenye nyota ya mbwa tu rizki mpk ukae kwenye milango ya wanaume.....kuna wengine hatuonew kizembe jichanganye utabaki maskini tu wewe
Mkuu wenu wa Utumishi Jeshini(Gen Gaguti) amekemea leo wakati wa kuhitimisha kozi ya awali RTS, hii tabia ya kutumia mitandao vibayaWewe una nini kenge mdogo wewe una nini? Pumbavu,
Na atapewa adhabu ya kupigwa kolabo na wenzie huyuUtaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogo
Kaka zako tushapigana mapambano
Mengi ya kidunia
Mimi naongea tu na mkuu wako ssnasana atakupa adhabu ya kufyeka nyasi ohooo
Ova
Jisifie ujinga wako ukiwa umekaa nyuma ya keyboard hapo, pumbavuUtaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogo
Kaka zako tushapigana mapambano
Mengi ya kidunia
Mimi naongea tu na mkuu wako ssnasana atakupa adhabu ya kufyeka nyasi ohooo
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie wallahMueleze huyo kima mlinzi wa geti
Daktar anasoma hadi nywele zinaisha halafu huyo mpuuz akicheza kwata anajiona amefika
Duh ndiyo mwanajeshi wetu huyoUtachapwa uchakae, jichanganye hivyo hivyo alafu ukizidiwa ukabebe kisu
Utawapiga wajinga wenzio unaoshare nao choo uko uswahilini wewe ni mpuuzi mmoja tu usiejua kuandika utabaki kuwa mlinzi mpaka mwisho wa maisha yakoUtachapwa uchakae, jichanganye hivyo hivyo alafu ukizidiwa ukabebe kisu
Ukizingua mmoja mtazinguliwa 1000 ushaelewa au bado hujaelewa nikueleweshe,Sina muda wa kujibu wala kubishana na mtu hapa.Cha muhimu ujumbe umefika,elimikeni kama wenzenu wa mbele,acheni akili za mgando za zama za mawe.Na kama hamtabadilika na siku nyingine mwanjeshi atajibeba hivi hivi azamishiwe panga la kichwa badilikeni aisee jifunzeni kwa yaliyomkuta boss wenu
Wewe endelea kujichanganya,Duh ndiyo mwanajeshi wetu huyo
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimechekaa kwa nguvu hapa.Utaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogo
Kaka zako tushapigana mapambano
Mengi ya kidunia
Mimi naongea tu na mkuu wako ssnasana atakupa adhabu ya kufyeka nyasi ohooo
Ova
Mbona umecheka sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie wallah
Mwingine unakuta tangu aajiriwe zaidi ya kufyeka na kukata majani kambini hamna analojua.Akipita mtaani mbichwa umevimba kumbe holla. Waangalie wanajeshi wenzao wa nje walivyo very smart na hata kwenye kuongea jamaa unaona ni wasomi.Ongea sasa na mjeda wa huku sana sana utasikia maneno kichapo,ntakuua,ruka kichura chura,yaani wengi wao vichwani ni empty kabisaWakiambiwa wakapambane na Alshabaab hapo Somalia wanaishia kujinyea nyea tu, n'a kutia huruma, wakifika kwa raïa tena wa nchi yao wanajifanya miamba PUMBAVU KABISA!
Ndio muache kudharau Jeshi lenu,Mkuu wenu wa Utumishi Jeshini(Gen Gaguti) amekemea leo wakati wa kuhitimisha kozi ya awali RTS, hii tabia ya kutumia mitandao vibaya
Mwepesi sanaJisifie ujinga wako ukiwa umekaa nyuma ya keyboard hapo, pumbavu
Comment yakoo imeniacha hoi mnoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umecheka sana mkuu
Kwa hio kwa huo ujinga ndio mna kibali cha kumuua Kanali?Mwingine unakuta tangu aajiriwe zaidi ya kufyeka na kukata majani kambini hamna analojua.Akipita mtaani mbichwa umevimba kumbe holla. Waangalie wanajeshi wenzao wa nje walivyo very smart na hata kwenye kuongea jamaa unaona ni wasomi.Ongea sasa na mjeda wa huku sana sana utasikia maneno kichapo,ntakuua,ruka kichura chura,yaani wengi wao vichwani ni empty kabisa
Mbona huelewi, amewaambia wanajeshi msitumie mitandao vibayaNdio muache kudharau Jeshi lenu,