Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Nahisi na wew utakuwa ni mjeda kund kuwasha choko wewe mje mjichanganye kwangu nina mkanda mweusi wa taikondo nitawapiga mpaka niwavuruge mitaro mbwa nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmevurugwaa wallah
 
Ujirekebishe ww jkt ambae uko uko unajitolea huna ajira ww ni mlinzi wa getini mwenye nyota ya mbwa tu rizki mpk ukae kwenye milango ya wanaume.....kuna wengine hatuonew kizembe jichanganye utabaki maskini tu wewe
Utachapwa uchakae, jichanganye hivyo hivyo alafu ukizidiwa ukabebe kisu
 
Sina muda wa kujibu wala kubishana na mtu hapa.Cha muhimu ujumbe umefika,elimikeni kama wenzenu wa mbele,acheni akili za mgando za zama za mawe.Na kama hamtabadilika na siku nyingine mwanjeshi atajibeba hivi hivi azamishiwe panga la kichwa badilikeni aisee jifunzeni kwa yaliyomkuta boss wenu
 
Utaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogo
Kaka zako tushapigana mapambano
Mengi ya kidunia
Mimi naongea tu na mkuu wako ssnasana atakupa adhabu ya kufyeka nyasi ohooo

Ova
Na atapewa adhabu ya kupigwa kolabo na wenzie huyu
 
Utaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogo
Kaka zako tushapigana mapambano
Mengi ya kidunia
Mimi naongea tu na mkuu wako ssnasana atakupa adhabu ya kufyeka nyasi ohooo

Ova
Jisifie ujinga wako ukiwa umekaa nyuma ya keyboard hapo, pumbavu
 
Sina muda wa kujibu wala kubishana na mtu hapa.Cha muhimu ujumbe umefika,elimikeni kama wenzenu wa mbele,acheni akili za mgando za zama za mawe.Na kama hamtabadilika na siku nyingine mwanjeshi atajibeba hivi hivi azamishiwe panga la kichwa badilikeni aisee jifunzeni kwa yaliyomkuta boss wenu
Ukizingua mmoja mtazinguliwa 1000 ushaelewa au bado hujaelewa nikueleweshe,
 
Utaniwezea wapi we mtoto mdogo sana,uelewa wako mdogo
Kaka zako tushapigana mapambano
Mengi ya kidunia
Mimi naongea tu na mkuu wako ssnasana atakupa adhabu ya kufyeka nyasi ohooo

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimechekaa kwa nguvu hapa.
 
Wakiambiwa wakapambane na Alshabaab hapo Somalia wanaishia kujinyea nyea tu, n'a kutia huruma, wakifika kwa raïa tena wa nchi yao wanajifanya miamba PUMBAVU KABISA!
Mwingine unakuta tangu aajiriwe zaidi ya kufyeka na kukata majani kambini hamna analojua.Akipita mtaani mbichwa umevimba kumbe holla. Waangalie wanajeshi wenzao wa nje walivyo very smart na hata kwenye kuongea jamaa unaona ni wasomi.Ongea sasa na mjeda wa huku sana sana utasikia maneno kichapo,ntakuua,ruka kichura chura,yaani wengi wao vichwani ni empty kabisa
 
Kwa hio kwa huo ujinga ndio mna kibali cha kumuua Kanali?
 
Back
Top Bottom