Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Nimeshakuonyesha,Ulitakiwa kunionyesha namna gani Sina akili na sio kupayuka ovyoovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshakuonyesha,Ulitakiwa kunionyesha namna gani Sina akili na sio kupayuka ovyoovyo
Huyo Kato ilibidi aje ageuzwe kua Mbuzi wa Noel, magereza anaenda kufuata nini?Kanali kafa kizembe
Na jamaa wa bajaji anaenda
Kukaa magereza kizembe pia
Ova
Wewe unarukaruka tu humu kujifanya much know kumbe empty head,Hana hajualo ako ni ka jkt ka kujitolea kasamehe tu bure
Na wewe ni mwanajeshi basi tumepata hasara,ndiyo umeandika kitu Gani Sasa?Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Ulienda roll call nini mjedaWewe unarukaruka tu humu kujifanya much know kumbe empty head,
Hawezi kuja peke yake,hadi waje kimakundi,mi sina imani na ubora wa hawa watu.Nitumie namba yako pm usiongee sana, na kama unataka kukandwa uje pekeako tukuoneshe dojo sinavyopigwa.
Sio unashabikia wamama kupigwa. Hio inaogeza dharau na chuki na si heshima kama unavyofikiria. Watu kama sisi tunaona ni ushamba tu
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Kuandika ujinga,nyie mmepanga mitaani,watoto wenu wanasoma shule hizihizi za kawaida,masoko mnatumia hayahaya, kama waathirika wakiamua kulipiza kisasi hamuwezi shinda raia,dare zisikudanganye .Watu wanacheza na akili zenu waneweza kuomba radhi lakini wakaendelea kuwa twanga pumbavu unachezea jeshi ww bora ukawachezee usalama taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajiamini,weka namba yako halisi ya simu hapa,utafutwe mwenyewe,uone utakavyofanywa.Wewe mjinga achana na jeshi, Huna kazi za kufanya? Mbona unashupaa sana au tukutafute na wewe? Unajua inachukua muda gani kumuandaa Kanali.POPOMA WEWE SHIKA ADABU YAKO. ETI CDF AOMBE RADHI YA NINI
Nimewashauri pia,kua waende kwenye kituo cha polisi husika,alichowekwa mtuhumiwa,wakafunge kituo kibabe,wamchukue na mtuhumiwa kibabe,tuone Kama itawezekana.Na ilivyo huyo mtuhumiwa aliyezuiliwa,arashinda hiyo kesi.Matokeo ya kukosa akili hii huwezi sikia kwa nchi zilizoendelea,ni kwa nchi maskini ambapo watu wasio na muelekeo wanaamua kuingia jeshini.Zama zimebadilika wenzenu wanajifunza mbinu mpya za kivita nyie mpo kuingia majumbani mwa watu.Mna hasira sana nendeni mkapigane na polisi basi.HII TABIA YA WANAJESHI KUSHAMBULIA MAKAZI YA RAIA IKOMESHWE MAANA IMESHAKUA MAZOEA.HAKUNA KIUMBE ALIYE JUU YA SHERIA YA NCHI!
Kwa hiyo wapige raia halafu lisijirudie? Kwa I marehemu angeelewana tu na jamaa yangetokea haya? Ujeshi wenu huko huko kambini mkija uraiani nyie ni raia lazima mfuate sheria,taratibu na kanuni za mahala husika.Wanataka kuhakikisha hili jambo halijirudii tena, ni kikundi wanawapa adabu wajue mipaka yao. Uhalifu mwingi unafanywa sababu ya uozo wa familia zetu kuficha hawa watu.
Umeulizwa unataka mtu aje akupigie kambini,uite wenzako?Wewe ni Kato mwingine?
Umeelewa swali?Niweke Mimi au uweke wewe?
Utaolewa, unategemea wanaume wenzako. Mtaishia kuwapika wabibi na wamama.Lugalo, Barracks fika hapo getini jitambulishe nini kimekuleta eleza km ulivyosema hapo
Unaweza kutaja Kazi ya Magereza, Kazi za Police, na Kazi za Jeshi la Wananchi?Huyo Kato ilibidi aje ageuzwe kua Mbuzi wa Noel, magereza anaenda kufuata nini?
Af unakuta asilimia kubwa ndo wako hivi zero exposure. Ushamba mwingi,Umeulizwa unataka mtu aje akupigie kambini,uite wenzako?
Hakim/Jaji hajipendi?GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.
Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika
Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.
Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.
JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Wewe taja,Unaweza kutaja Kazi ya Magereza, Kazi za Police, na Kazi za Jeshi la Wananchi?
Maroon is something you can’t get it, you have to earn it.Umeelewa swali?