Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Hujajibu swali langu,Umeulizwa unataka mtu aje akupigie kambini,uite wenzako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali langu,Umeulizwa unataka mtu aje akupigie kambini,uite wenzako?
Kwa hiyo hujui?Wewe taja,
As usual,Ulienda roll call nini mjeda
Wewe umeuliza hujauliza?Kwa hiyo hujui?
Kwa hiyo umeshindwa kujua FRO, Code of Service Discipline, Na national defense Act, kuhusu ruhusa ya kutesa raia?Maroon is something you can’t get it, you have to earn it.
Nimekuuliza swali umeshindwa kujibu,Wewe umeuliza hujauliza?
Wewe ni lijingaKibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Sijashindwa, nimesema wewe ulieleta hayo uyaelezee, alafu nitakugonga maswali au nitakutolea summaryKwa hiyo umeshindwa kujua FRO, Code of Service Discipline, Na national defense Act, kuhusu ruhusa ya kutesa raia?
Ndio maana sijataka kujua hilo, bado hujatoa jibuNimekuuliza swali umeshindwa kujibu,
Na ndio maana awali nilitaka kujuwa kiwango Cha elimu yako Kwanza
Wenye Jeshi ni Wananchi, hujaelewa nini?Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Wananchi kama Wananchi hawa hawa au baadhi wenye hadhi?
Utakubaliana na mimi kwamba hujui FRO, Code of Service Discipline, The National defense Act ambazo ndio Sheria zinazowaongoza?Ndio maana sijataka kujua hilo, bado hujatoa jibu
Kama hujashindwa mbona hujajibu?Sijashindwa, nimesema wewe ulieleta hayo uyaelezee, alafu nitakugonga maswali au nitakutolea summary
Unanilazimisha nikubariane na wewe au unaniomba nikubariane na wewe?Utakubaliana na mimi kwamba hujui FRO, Code of Service Discipline, The National defense Act ambazo ndio Sheria zinazowaongoza?
Hivi bado kipigo hakija kukuta tu? MP wanatakiwa wakukande weweGENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.
Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika
Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.
Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.
JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Nimeshakupa jibu hujaliona, usitake nikujibu vile unavyotaka wewe km hulioni jibu usitake tena jibu wakati ushalewa jibu hilo ndio jibu na wewe jibuKama hujashindwa mbona hujajibu?
Kabisa wamkande inavyotakiwa,Hivi bado kipigo hakija kukuta tu? MP wanatakiwa wakukande wewe
Hujajibu swali languNimeshakupa jibu hujaliona, usitake nikujibu vile unavyotaka wewe km hulioni jibu usitake tena jibu wakati ushalewa jibu hilo ndio jibu na wewe jibu
Kama kweli unajua jibu swali langu, nilikuuliza kuhusu FRO,NDA Na Code of Service Discipline, kuhusu ruhusa ya kutesa raia? Ulitoa jibu?Unanilazimisha nikubariane na wewe au unaniomba nikubariane na wewe?