Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama.
Na wewe ni mwanajeshi basi tumepata hasara,ndiyo umeandika kitu Gani Sasa?
 
Nitumie namba yako pm usiongee sana, na kama unataka kukandwa uje pekeako tukuoneshe dojo sinavyopigwa.

Sio unashabikia wamama kupigwa. Hio inaogeza dharau na chuki na si heshima kama unavyofikiria. Watu kama sisi tunaona ni ushamba tu
Hawezi kuja peke yake,hadi waje kimakundi,mi sina imani na ubora wa hawa watu.
 

we ni moja ya wajinga tuliobarikiwa kuwa nao kama nchi.

aliyetenda kosa kakamatwa sasa hao wananchi wanateswa kwa kosa gani?

alafu hakuna mwanajeshi aliyejitolea, huko wameajiriwa kufanya kazi ndo maana kuna mshahara.

Kupambana na wananchi ni moja ya upumbavu mkubwa, kipimo cha jeshi ni siku tukivamiwa au kuingia vitani na sio kupiga raia wasio na hatia
 
Acha
Watu wanacheza na akili zenu waneweza kuomba radhi lakini wakaendelea kuwa twanga pumbavu unachezea jeshi ww bora ukawachezee usalama taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika ujinga,nyie mmepanga mitaani,watoto wenu wanasoma shule hizihizi za kawaida,masoko mnatumia hayahaya, kama waathirika wakiamua kulipiza kisasi hamuwezi shinda raia,dare zisikudanganye .
 
Wewe mjinga achana na jeshi, Huna kazi za kufanya? Mbona unashupaa sana au tukutafute na wewe? Unajua inachukua muda gani kumuandaa Kanali.POPOMA WEWE SHIKA ADABU YAKO. ETI CDF AOMBE RADHI YA NINI
Kama unajiamini,weka namba yako halisi ya simu hapa,utafutwe mwenyewe,uone utakavyofanywa.
 
Nimewashauri pia,kua waende kwenye kituo cha polisi husika,alichowekwa mtuhumiwa,wakafunge kituo kibabe,wamchukue na mtuhumiwa kibabe,tuone Kama itawezekana.Na ilivyo huyo mtuhumiwa aliyezuiliwa,arashinda hiyo kesi.
 
K
Wanataka kuhakikisha hili jambo halijirudii tena, ni kikundi wanawapa adabu wajue mipaka yao. Uhalifu mwingi unafanywa sababu ya uozo wa familia zetu kuficha hawa watu.
Kwa hiyo wapige raia halafu lisijirudie? Kwa I marehemu angeelewana tu na jamaa yangetokea haya? Ujeshi wenu huko huko kambini mkija uraiani nyie ni raia lazima mfuate sheria,taratibu na kanuni za mahala husika.
 
Umeulizwa unataka mtu aje akupigie kambini,uite wenzako?
Af unakuta asilimia kubwa ndo wako hivi zero exposure. Ushamba mwingi,

Akishapata mkopo wa kununua subaru akili imesharuka
 
Hakim/Jaji hajipendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…