Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Wewe ni lijinga
 
Kwa hiyo umeshindwa kujua FRO, Code of Service Discipline, Na national defense Act, kuhusu ruhusa ya kutesa raia?
Sijashindwa, nimesema wewe ulieleta hayo uyaelezee, alafu nitakugonga maswali au nitakutolea summary
 
Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Wananchi kama Wananchi hawa hawa au baadhi wenye hadhi?
 
Hivi bado kipigo hakija kukuta tu? MP wanatakiwa wakukande wewe
 
Kama hujashindwa mbona hujajibu?
Nimeshakupa jibu hujaliona, usitake nikujibu vile unavyotaka wewe km hulioni jibu usitake tena jibu wakati ushalewa jibu hilo ndio jibu na wewe jibu
 
Naomba unielekeze wapi natakiwa nikafungue shitaka juu ya hili swala
 
Nimeshakupa jibu hujaliona, usitake nikujibu vile unavyotaka wewe km hulioni jibu usitake tena jibu wakati ushalewa jibu hilo ndio jibu na wewe jibu
Hujajibu swali langu
Swali langu lilikuwa wazi mbona,
Nilikuuliza ni kifungu gani kwenye The National defense Act, FRO, na Code of Service Discipline, kinatoa ruhusa kwa mwanajeshi kutesa raia?
 
Unanilazimisha nikubariane na wewe au unaniomba nikubariane na wewe?
Kama kweli unajua jibu swali langu, nilikuuliza kuhusu FRO,NDA Na Code of Service Discipline, kuhusu ruhusa ya kutesa raia? Ulitoa jibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…