Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Acha mbumba ...Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Kwani walilazimishwa kuwa wanajeshi?!
Kazi zote Zina masharti yake na walijua na wakaitaka..sasa huo upuuzi eti sijui wanatulinda Hilo Ni jukumu lao na wanalipwa vizuri mno ...,huo mwengine Ni ulimbukeni tu.. .. kazi zote Zina umuhimu wake.. , na hata wao wanahudumiwa watu vile vile ! ..