Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Acha mbumba ...

Kwani walilazimishwa kuwa wanajeshi?!

Kazi zote Zina masharti yake na walijua na wakaitaka..sasa huo upuuzi eti sijui wanatulinda Hilo Ni jukumu lao na wanalipwa vizuri mno ...,huo mwengine Ni ulimbukeni tu.. .. kazi zote Zina umuhimu wake.. , na hata wao wanahudumiwa watu vile vile ! ..
 
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.

Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.

Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika

Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.

Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?

GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.

JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.

Kazi nzuri sana
Unastahili Malipo makubwa sana
 
Una matatizo makubwa sana ya uelewa na maadili kijana.
Wwe ndiyo una matatizo ya akili, mtu mzima unafurai vp kwa raia wasiokua na hatia kupigwa na wanajeshi wasiojitambua!? Alafu eti mauwaji ya huko palestina ndiyo yanakuumiza zaidi kuliko vipigo vya.Kawe!!
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Wanafanya kazi bure? Si wanazililia hizo kazi wenyewe hadi kuhonga ili waingie tu huko?

Sasa hao raia wanaowapiga ndo wamemkafini mwenzao?

Aliyemshughulikia mwenzao amekamatwa sasa unahangaika na raia asiye na hatia wa nini kama sio uzwazwa.

Raia wakianza kisasi wasije kuanza kulalamika kwamba raia hawawapi ushirikiano.
 
Picha unazoziona hapona bus kampuni ya HAPPY NATION (TAIFA LENYE FURAHA)
T 508 EBS
Kampuni hili ni waswahili na walaghai
Kwanini Mnamo tarehe 30.10.2023 nimekata tiketi ya kutoka MOROGORO kwenda MUSOMA na wakakiri ya kwamba ndio mwisho wa Bus lao cha Ajabu nafika MWANZA mjini wanapaki bus lao NATA na kunijibu ya kwamba hawaendi tena MUSOMA
UJUMBE wangu kwa wasafiri wenzangu
Usiwape pesa ya MUSOMA kampuni hili kwani hawa nao ni wezi kama wezi wengine tu tunaowajua
KONDAKTA amekana hata kunirudishia pesa yangu
Kwani nilimwambia nipe nauli yangu ili niendelee na safari
KANIJIBU KWA MAJIVUNO
sikupi chochote wewe potea hapa
Kwani ulilazimishwa kupanda bus hili

NINA mengi juu ya wizi wa kampuni hili juu ya kuwaharibia watu bajeti zao

SASA ni makampuni mawili wezi hasaaa
1.HAPPY NATION
2.SUPER NAJIMUNISA
ila Happy Nation ni mpaka na bus namba hiyo hapo .View attachment 2798432View attachment 2798433View attachment 2798434
Umeshindwa kuanzisha Uzi wako juu ya hii Mada / Kero yako mpaka uipandishe ndani ya Uzi wangu?
 
Hao jamaa wa bodaboda wajue mkuki kwa nguruwe.... wao wanatabia ya kupiga mtu yoyote akimkosea mwenzao hata kwa bahati mbaya wanatoa kipigo na serikali ilikuwa inawachilia tu na wao wacha wapokee kichapo cha makosa ya mwenzao washenzi sana tena sana hao vijiwe vya bodaboda. Navyoelewa kijiwe cha aliyetoka mwenzao muuwaji wote watakula kibano watajane wote. Mtu aliyeuwa mara moja hujui kafanya mangapi huko nyuma.
Kwahiyo wanaopigwa ni bodaboda?

Wewe akili huna. Wanapigwa wazee, wamama hadi mabinti halafu unasema habari za bodaboda mpuuzi wewe.
 
Wewe umejuaje kama hawana hatia? hii mitaa inatabia ya kufichana maovu na hivi vigenge vya bodaboda ni washirika wa maovu sasa watatajana tu na wengine wako wapi. Hawa kina Mama wengi wanaficha wahuni na kwakuwa wamekimbia basi kipigo kitawafanya watajane tu wamekimbilia wapi. Wewe hujui hawa vijiwe vya bodaboda wanayoyafanya.
Aliyefanya tukio si yupo mikononi mwa polisi?

Kwani hao wanaopigwa ndo walishika bisibisi pamoja na mtuhumiwa wakamchoma kanali?

Upumbavu mtupu. Raia wakisema wa react nina hakika hao askari wataanza kuomba poo. Hakuna mahali popote duniani raia waliwahi kushindwa kwenye jambo lolote wakiamua.
 
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.

Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.

Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika

Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.

Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?

GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.

JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Kuna mambo sio hata yaku post. Ina maana na wewe umekuwa Hamas. Sorry hicho kitendo cha raia kunyanyua mkono kwa wana Jamuhuri wetu hakikubaliki. Mama mkanye mwanao ukishindwa kulea tunakufundisha jinsi yakulea. End JW Forever
 
Kwahiyo wanaopigwa ni bodaboda?

Wewe akili huna. Wanapigwa wazee, wamama hadi mabinti halafu unasema habari za bodaboda mpuuzi wewe.
Wewe umewaona? au unakariri tu
 
Aliyefanya tukio si yupo mikononi mwa polisi?

Kwani hao wanaopigwa ndo walishika bisibisi pamoja na mtuhumiwa wakamchoma kanali?

Upumbavu mtupu. Raia wakisema wa react nina hakika hao askari wataanza kuomba poo. Hakuna mahali popote duniani raia waliwahi kushindwa kwenye jambo lolote wakiamua.
Anza kuamua wewe na family yako. Maneno tu toka barabarni nenda kambi ya jeshi lianzishe halafu sisi tutakuja kuku support.
 
GENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.

Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.

Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika

Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.

Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?

GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.

JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Pole sana, wote waliokumbwa na dhahama hii ya aibu. Ni maombi yangu kwa Mola majeruhi na wote waliteswa mpone haraka na kuendelea na shughuli zenu za ujenzi wa Taifa.
Kama kuna waliopoteza Maisha pole nyingi sana kwa familia tunendelea kufutilia taarrifa hizi za vifo kama na kujiridhisha kama zinahusiana na rapsha hili la fedheha.

Wito muhimu hapa ni, utulivu, ustahimilivu na subra kwa wote.
Jambo hili ni la kijeshi, linashughulikiwa kwa taratibu za kijeshi.
Kinachoendelea ni kujiridhisha ni nani alihusika na aibu hii na kwa maelekezo ya nani au yake binafsi? Na kwa maslahi ya nani.
Taarrifa kwa umma itatolewa wakati muafaka..

Jeshi litaendelea kutekeleza majukumu yake kwa weledi, umahiri na kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi, zilizopo katika kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa nchi, mipaka ya nchi, mali za wananchi na raia wote waTz na kuhakikisha wakati wote Tz ni salama na yenye Amani.
Asant....
 
Jeshi la tz linafanyaga mambo ya aibu sana jeshi lina act utafikiri kikundi fulani cha panya road au waimba singeli amapiano
Hivi hili jeshi halina shuguli za kufanya au ?kwa hiyo kitendo walichofanya kawe kwao wanaiona operation kubwa huko jeshini siyo.
Vyanzo vyao vingi vinavyoleta mgogoro na raia huwa ni vya kipuuz
Utakuta mara wanagombania madem,au ndiyo ile kupishana kauli na raia kwa mambo ya kijinga tu

Ova
Punguza munkari ww
 
Hawa wapumbavu hawana tofauti na majambazi ,mimi hata kama watakuja kuvamia wamevaa combat hao ni majambazi tu ,au vibaka .
Sheria hairuhusu wao kuvamia raia na kuanza kushambulia ,hata polisi ambao ndio wana leseni ya kudeal na raia huwa hawaruhusiwi kuvamia makazi ya watu / raia wasio na hatia na ambao hawako armed na kuanza kushambulia kwa kuwapiga bila sababu , na hata kuingia kwenye makazi ya raia lazima wapewe ruhusa na serikali ya mtaa na ni lazima waongozane na kiongozi mmoja wapo wa mtaa .
Tanzania hawa wapuuzi jwtz wao wanaona hayo yote ni upuuzi ,
Kama kila mtu akiamua kujichukulia sheria sidhani kama kutakalika nchi hii .
Dawa hawa ni kumiliki chombo cha moto watu kama hao wabapovamia una haki ya kujilinda na kutumia chombo cha moto kuwamwaga ubongo
Unazijua sheria ww[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom