The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Akili hawana , lakini hili tukio litakua limewafundisha kila kikosi akiuwawa mmoja kwa style hiyo !! wataelekezana jinsi ya kuishi mtaani au mmoja mmoja watabadilika !!Baada ya kwenda kulinda mipakani na kulinda madini huko ya siibiwe wanawapiga raia wasio na hatia ama kweli tuna jeshi la hovyo sana
Labda ndicho wanachotafuta hichoBinafsi sijafurahishwa na vitendo vinavyofanywa na wanajeshi hasa kwa raia.
Jeshi la polisi liliwekwa kwa ajili ya kuingiliana na raia na wao ndio wanaohusika na raia direct.
Kitendo cha jwtz kwenda kuingilia uhuru wa raia ni uvunjifu wa sheria hasa kukiuka haki za binadamu.
Jwtz(MPs) msijikute nyinyi ni waungu watu na huo upolisi wenu ni wa huko makambini kwenu na sio uraiani.
Hakuna vita mbaya sana kati ya raia na wanajeshi.
Na siku ikitokea kwa hapa Tanzania basi naamini wanajeshi watakufa wengi sana.
Mnaleta ukontawa kwa raia wakati mkiwa makambini mnakuwa wasafisha vyoo na vijakazi wa jeshini.
Acheni ufala.
Ubabe sio dili.
Badala wapambane na serikali hasira zao wanazihamishia kwa raia,kwani raia ndiyo wamewaajiriHuu
Daktari na mwalimu nao wakifanya uhuni sababu ya mazingira magumu ya kazi itakuwaje?
Kazi ya jeshi waliomba na wanalipwa hawajitolei.
Katafuteni shuguli za kufanya basiKibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Mbona jeshi la polisi linaishi vizuri na raia wema, kwanini jwtz iende ikapige,kutesa na kuua(tetesi) raia wasio na hatia.Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Kweli mnajivika umungu mtu, haki hii nchi ikiendelea nipo pale. Kamwe mafisadi msiwalalamikie, aisee! Hivi unajua kila mtu kwa profession na kazi yake anaweza kukumaliza bila hata kutumia nguvu. Aisee😆😆😆😆, haya ngoja tuone. Unalipwa kwapesa za wananchi ujue. haki sijawahi kuona watu wenye ujinga kama hii Tz. Akili mtu wangu, never start small predicaments zina madhara vibaya mno.Watu wanacheza na akili zenu waneweza kuomba radhi lakini wakaendelea kuwa twanga pumbavu unachezea jeshi ww bora ukawachezee usalama taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Wanataka kuhakikisha hili jambo halijirudii tena, ni kikundi wanawapa adabu wajue mipaka yao. Uhalifu mwingi unafanywa sababu ya uozo wa familia zetu kuficha hawa watu.Sasa muuwaji yuko mikononi mwa police, sasa hizi fujo tena mtaani za jeshi na raia za nini!?
uzi ufungwe.Hakuna tamko na halitotokea
Siioni haki ikitendeka.Bado wanashauriana kuja na Tamko.
Cc: Waziri Dkt. Gwajima DHumu kuna waziri Dr gwajima yeye yupo kwenye baraza la mawaziri hivyo atusaidie kulifikisha kwa waziri wa ulinzi. Wanajeshi baadhi yao wana ushamba sana hata mtaani wapo wanaojimwmbafai kisa yeye mjeda.
Waambie liwe na 75% ya Kuomba Radhi Wananchi ( Raia ), 20% ya Kunishukuru ( na siyo Kunitisha GENTAMYCINE ) kwa Kuliibua / Kulileta hapa JamiiForums na 5% Kukiri kuwa wapo baadhi ya Wanajeshi wanalikosea na kuliingiza matatizoni na Watu ( Public )Tamko liko tayari,sema litatolewa siku ya Jumatatu, kuweni na subira!!
Pumbavu na Punguwani Wahed.Punguza utoto na peleka hayo malalamiko kwa mwenyekiti wa mtaa, atatafutwa mkuu wa kambi mnamaliza hilo tatizo au nenda kwenye kata kuna uongozi au mahakama ya mwanzo.