Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Samahani wajuzi kwani GENTAMYCINE ndio KIGOGO KIGOGO?

Maana nimeona post kama hii asubuhi katika kurasa za kigogo na kila kilichoandikwa hapa ni kile kile kasoro tu sehemu iliyoandikwa KIGOGO hapa imeandikwa GENTAMYCINE
 
Baada ya kwenda kulinda mipakani na kulinda madini huko ya siibiwe wanawapiga raia wasio na hatia ama kweli tuna jeshi la hovyo sana
Akili hawana , lakini hili tukio litakua limewafundisha kila kikosi akiuwawa mmoja kwa style hiyo !! wataelekezana jinsi ya kuishi mtaani au mmoja mmoja watabadilika !!
wanaelewa kwa njia ngumu.
 
Binafsi sijafurahishwa na vitendo vinavyofanywa na wanajeshi hasa kwa raia.

Jeshi la polisi liliwekwa kwa ajili ya kuingiliana na raia na wao ndio wanaohusika na raia direct.
Kitendo cha jwtz kwenda kuingilia uhuru wa raia ni uvunjifu wa sheria hasa kukiuka haki za binadamu.

Jwtz(MPs) msijikute nyinyi ni waungu watu na huo upolisi wenu ni wa huko makambini kwenu na sio uraiani.

Hakuna vita mbaya sana kati ya raia na wanajeshi.

Na siku ikitokea kwa hapa Tanzania basi naamini wanajeshi watakufa wengi sana.

Mnaleta ukontawa kwa raia wakati mkiwa makambini mnakuwa wasafisha vyoo na vijakazi wa jeshini.

Acheni ufala.

Ubabe sio dili.
Labda ndicho wanachotafuta hicho

Ova
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Katafuteni shuguli za kufanya basi
Nendeni mkaanzishe chokochoko na rwanda Uganda kenya huko mipakani
Acheni kugombania madem bar nk
Jeshi gani lina mambo ya kitoto

Ova
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Mbona jeshi la polisi linaishi vizuri na raia wema, kwanini jwtz iende ikapige,kutesa na kuua(tetesi) raia wasio na hatia.
Wamama watu wazima hawana kosa unaenda kuwachapa viboko kama watoto.
Unaenda sababisha hasara kwa mfanyabiashara kisa vurugu zako wewe mwanajeshi.

Majeshi ya afrika magharibi yameenda kuwa msaada kwa wananchi kutokana na serikali za kidhalimu ila sisi sasa majeshi yetu.
 
Watu wanacheza na akili zenu waneweza kuomba radhi lakini wakaendelea kuwa twanga pumbavu unachezea jeshi ww bora ukawachezee usalama taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mnajivika umungu mtu, haki hii nchi ikiendelea nipo pale. Kamwe mafisadi msiwalalamikie, aisee! Hivi unajua kila mtu kwa profession na kazi yake anaweza kukumaliza bila hata kutumia nguvu. Aisee😆😆😆😆, haya ngoja tuone. Unalipwa kwapesa za wananchi ujue. haki sijawahi kuona watu wenye ujinga kama hii Tz. Akili mtu wangu, never start small predicaments zina madhara vibaya mno.
 
Wana kauli yao moja hivi wanasema 'wakung'uteni kwanza ndipo tutoe tamko au tuje kusahihisha'.

Mara nyingi hawa wajeda ni wakorofi tu pasi sababu, kupiga wamama au mabinti wasio na hatia ina maana gani au wameenda kuchagua wale walio wanyima ugwadu na bidhaa dukani ndiyo funzo?.

Ukweli hawa wangepelekwa Ukraine au Palestine tuone ubabe wao.

Lakini jamii yote iliyoumizwa nawashauri unganeni na mtafute mwanasheria nendeni mahakamani au nendeni mkawe upande wa Jamhuri ili mkiwa serikali hao MP wa Lugaro wote washikishwe adabu.
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze

Hata wao wanatakiwa kuwa na adabu. Hii kitu ni kikubwa sana kinaweza kuwa na matokeo hasi. Familia zao tunaishi nao mitaani na mashuleni. Wananchi wakiamua kulipiza, watakaoumia zaidi ni wanajeshi.
Siraha ya vita ni nyingi ambazo wananchi wanaweza kutumia na kuishinda hii vita.
Busara ingetumika wala msingefika huko. Nina mashaka na uwezo wa kiuongozi wa wakubwa zenu.
 
Sasa muuwaji yuko mikononi mwa police, sasa hizi fujo tena mtaani za jeshi na raia za nini!?
Wanataka kuhakikisha hili jambo halijirudii tena, ni kikundi wanawapa adabu wajue mipaka yao. Uhalifu mwingi unafanywa sababu ya uozo wa familia zetu kuficha hawa watu.
 
Punguza utoto na peleka hayo malalamiko kwa mwenyekiti wa mtaa, atatafutwa mkuu wa kambi mnamaliza hilo tatizo au nenda kwenye kata kuna uongozi au mahakama ya mwanzo.
 
Lakini siku ya kwanza watu walimuona mvuta bhangi aliyeua askari ni jasiri sana na kumpongeza Leo raia wanalia, ama kweli matamanio huleta upofu.

Huu ni ujumbe Jeshi linapeleka kwa raia kwamba waheshimu Kila mtu, Kuna siku wakiendelea na bhangi zao Jeshi linaweza kuchukua hatua ngumu na nzito sana.

Kila siku Rais anazungumzia maadili Kwa vijana lakini inasikitisha sana Kwa comment nilizosoma nyingi zinasema vijana wa kawe hawana maadili na kawe kumekuwa Kwa hovyo Kwa wastaarabu kuishi, watu wanakabwa mchana peupe lakini bado tunaona hao wahuni kusombwa na maMP ni kosa ? nani katuroga ?

Kwangu Mimi, ninatamani kusikia vijana wavuta bhangi wamesimbwa wote wapelekwe sehemu na mengine yafuate hapo ndio heshima kwa Jeshi itakuwepo.

Tafadhali Mhe.Rais na viongozi wengine wa kijeshi acheni wanajeshi wafanye wanachofanya ili maadili Kwa vijana yarudi.
 
Tamko liko tayari,sema litatolewa siku ya Jumatatu, kuweni na subira!!
Waambie liwe na 75% ya Kuomba Radhi Wananchi ( Raia ), 20% ya Kunishukuru ( na siyo Kunitisha GENTAMYCINE ) kwa Kuliibua / Kulileta hapa JamiiForums na 5% Kukiri kuwa wapo baadhi ya Wanajeshi wanalikosea na kuliingiza matatizoni na Watu ( Public )

Nalisubiri kwa hamu sana ili nilisikie.
 
[emoji91][emoji91][emoji58][emoji52]
Naomba kuwakumbusha wa TANZANIA wenzangu

Tujitahid kumilk slaa zetu ata za jadi au pastol kisheria kwa ajiri y kujilinda sisi na familia zetu zid maagaidi

Ili wapuuz kama hao wakija kuvuka mstari mizogo Yao ije kuchukuliwa kwaajili ya uchungunzi maan unawez kuta NI majangiri au waasi wa taaifa.


Zoez kama Hilo juu likiwakuta hawatokaa kurudia upuuz huo milelele yote , Mungu nipe pesa

Mungu ibark Tanzania
 
TARATIBU ZA KUMLIKI SILAHA YA KURITHI / SILAHA YA KUNUNUA
1. LAZIMA UJUE KAMA SILAHA YA KUMILIKI AU KURITHI
(a) Kama silaha umenunua kwa mtu hivyo silaha hiyo ni ya kurithi.
(b) Kama silaha ni ya kurithi lazima mwenye silaha aandike barua ambayo ataileta kwa kamanda wa
polisi wilaya (OCD) ambayo itamtambulisha huyo mtu anayetaka kurithishwa silaha hiyo.
2. IKIWA SILAHA NI YA MAREHEMU (KURITHI SILAHA YA MTU ALIYEKUFA)
Lazima kuwepo na barua ambayo wazee,ndugu ama wanakijiji waliokaa wakaona huyo mtu anafaa
kumiliki silaha hiyo ikiambatanisha na majina ya waliojadili.
3. IKIWA SILAHA NI YA KUNUNUA DUKANI (MPYA)
(a) Anayetaka kumiliki atafika kituo cha polisi na kuchukua fomu”N” akiwa na picha nne.
(b) Atajaza fomu nne akionyesha majina yake,aina ya silaha pamoja na sababu ya kumiliki silaha.
(c) Kama silaha ni ya kurithi atakuja na barua ya muhtasari wa kuonyesha kama wajumbe
wamemchagua yeye kuwa mmiliki na ataleta risiti kutoka dukani aliponunua silaha.
(d) Ataonyesha barua ya aliyekuwa mmiliki wa silaha ambayo awali ilihakikiwa ”N” kamanda wa
polisi wilaya(OCD) kama mwenye silaha yuko hai.
(e) Akishajaza fomu”N” ambayo itakuwa fomu ya nne atenda nazo kwenye kamati ya ulinzi na
usalama ya Kijiji na kujadiliwa huko na ataandikiwa muhuktasari.
(f) Ataenda katika kamati ya ulinzi na usalama ngazi ya Kata pia watamjadili na kumpatia
muhuktasari.
(g) Ataenda ngazi ya Tarafa yaani kwenye kamati ya ulinzi na usalama na Katika kamati zote hizo
muhuktasari utaonyesha majina ya wajumbe waliomjadili baada ya hapo ataenda kwa hakimu
wa Mahakama ya mwanzo ambaye atasaini na kugonga muhuri.
(h) Akimaliza hapo viambatanisho vyake vyote vitafungwa kwa pamoja na kupelekwa kwa afisa
usalama wa Taifa wilaya(DSO)ili avihakiki na kutoa makosa yaliyopo kasha kuzirudisha kwa
OCD.
(i) Na OCD atachukua viambatanisho vyake vyote kutoka ngazi mbalimbali za Kijiji,Kata,Tarafa
na Mahakamani atazipeleka katika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya na
kumjadili kama anastahili ama laa kasha watamuita katika kamati hiyo na ma
 
Back
Top Bottom