Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Kuua kama kuua ni kosa kisheria hivyo siwezi kabisa kufurahia au kushabikia tukio kama hilo, kwahiyo na wewe umefurahishwa na yaliyotokea? Zipo taratibu za kufuatwa kiuhalisia MP ni askari jeshi kwa ajili ya kudeal na civilian?
Hio inafahamika Ila lazima mfunzwe adabu kwanza alafu taratibu zingine zitafuata,
 
Wewe mjinga achana na jeshi, Huna kazi za kufanya? Mbona unashupaa sana au tukutafute na wewe? Unajua inachukua muda gani kumuandaa Kanali.POPOMA WEWE SHIKA ADABU YAKO. ETI CDF AOMBE RADHI YA NINI
 
Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Hii ni mentality ya KIPUMBAVU SANA, yaani anafanya kosa mtu mmoja wanaadhibu mama zetu, baba zetu, dada zetu, wadogo na watoto wetu, eti "unawatia adabu" adabu ipo hiyo?

Duniani ilivyo mbali kiteknolojia bado wanatumia mbinu za kishamba kabisa ku-deal n'a mambo, UPUMBAVU, UPUMBAVU, UPUMBAVU !

Kesho wanarudi kula kwenye migahawa ya watu hao hao wanaowaadhibu bila sababu, anyway...
 
Wewe mjinga achana na jeshi, Huna kazi za kufanya? Mbona unashupaa sana au tukutafute na wewe? Unajua inachukua muda gani kumuandaa Kanali.POPOMA WEWE SHIKA ADABU YAKO. ETI CDF AOMBE RADHI YA NINI
Unataka kusema uyo kanal yuko juu ya sheria.....sijui mkoje nyie hamthamini wenzenu kabisa mnajikuta kinoma sasa kila mtu aseme ivyo itakuwaje......wewe unajua inachukua miaka mingap na sh ngap kumuandaa daktari bingwa?
 
Wakati mwingine hao wajeshi waishi pekee yao. Mwalimu Nyerere alipowawekea baa zao na maduka yao alijua.

Hao wakikosa vita wanapagawa wanaweza kupiga hata ukuta.

Hao wahanga kama wapo watani zangu waende mahakamani nawajua watauza hata nyumba ili walipwe fidia ya kupigwa.

Na wewe paparazi ole wako wakushtukie utatembezwa bila nguo kambini hata mtaani kwako.
Nimechekaa had baas. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unataka kusema uyo kanal yuko juu ya sheria.....sijui mkoje nyie hamthamini wenzenu kabisa mnajikuta kinoma sasa kila mtu aseme ivyo itakuwaje......wewe unajua inachukua miaka mingap na sh ngap kumuandaa daktari bingwa?
Kenge wewe unahoji maswali ya kitoto daktari Bingwa yupi alieuawa na raia au alieuawa na mwanajeshi? Usiongee ujinga kenge wewe
 
Humu kuna waziri Dr gwajima yeye yupo kwenye baraza la mawaziri hivyo atusaidie kulifikisha kwa waziri wa ulinzi. Wanajeshi baadhi yao wana ushamba sana hata mtaani wapo wanaojimwmbafai kisa yeye mjeda.
Kwani wahusika hawapo humu? Mbna wapo na wanasomaa hapa.
 
Kenge wewe unahoji maswali ya kitoto daktari Bingwa yupi alieuawa na raia au alieuawa na mwanajeshi? Usiongee ujinga kenge wewe
Hamna adabu bwana alieanzisha ugomvi ni uyo boss wenu kwan mara ngapi mnJikuta mko above everyone sasa kama kila kada ikajiona ina umuhim zaidi tutafika kweli mjirekebishe bhn na ndo maana mnalilia pensheni zenu mpaka mkome mjifunze
 
Hii ni mentality ya KIPUMBAVU SANA, yaani anafanya kosa mtu mmoja wanaadhibu mama zetu, baba zetu, dada zetu, wadogo na watoto wetu, eti "unawatia adabu" adabu ipo hiyo?

Duniani ilivyo mbali kiteknolojia bado wanatumia mbinu za kishamba kabisa ku-deal n'a mambo, UPUMBAVU, UPUMBAVU, UPUMBAVU !

Kesho wanarudi kula kwenye migahawa ya watu hao hao wanaowaadhibu bila sababu, anyway...
Bado hamjatosheka na kushikishwa adabu? Kichapo kipo palepale,
 
Back
Top Bottom