Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Hio inafahamika Ila lazima mfunzwe adabu kwanza alafu taratibu zingine zitafuata,Kuua kama kuua ni kosa kisheria hivyo siwezi kabisa kufurahia au kushabikia tukio kama hilo, kwahiyo na wewe umefurahishwa na yaliyotokea? Zipo taratibu za kufuatwa kiuhalisia MP ni askari jeshi kwa ajili ya kudeal na civilian?