Vita yetu ilenge kuweka demokrasia katika nchi yetu na kuhakikisha kila familia ina uweza kufikia malengo yake bila kukumbana na bomoa bomoa za kijinga in fact vita yetu ni bei Bora za mazao,soko la uhakika la bidhaa zetu na familia Bora,Mimi naipenda Canada, Switzerland,Finland na Sweden pamoja na Norway na Denmark,Hawa watu hawana muda wa kupoteza, wao ni kuimarisha huduma kwa wananchi wao hayo mengine ya kuchokoza mavita ni mtego ambao kama hatutauangalia kwa makini italeta Sinto fahamu ya muda mrefu.
Wananchi wanapiga debe kutafuta senti zao na kupigania malengo, tafadhali mnaopenda vita pelekeni hao mateja wanaolewa pombe Kali na kusababisha ajari zisizo na kikomo.
Tuhakikishe Hawa wazanzibari hawatuingizi vitani kwa namna yoyote Ile,kila mtu apambane na hali yake,kama mnamtaka Kagame malizana na Kagame kama putini anavoshughulika na magaidi wa ndani ya nchi yake.