Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 547
- 1,193
Mitume hawakutegemea sadaka wala fungu la kumi la mtu ili waishi, ndiyo sababu walikemea maovu.Ndo kufunga ndoa kwa kuangalia maslai ya dunia huko.
Kuna jamaa mmoja tajiri kweli ni mkatoliki ila ana wanawake wawili. Ingawa kikanisa ni kosa lakini anasali kama kawaida na haki zote anapata. Kinachoangaliwa ni $$$$. Ukioa wanawake wawili na wewe ni maskini utatengwa.So means wakikemea uovu watakufa njaa.
Naamini siku waumini wakigoma kutoa sadaka na michango wakashinda njaa watakemea.Shida kwao maslai ni muhimu