InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
ebu nianze mdogomdogo kaproject ka kufuga ile mboga🐖 pendwa,kuna rizki ipo mbele baada ya miaka mi5! mwenye vitoto tuwasiliane.Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Itapendeza sanaKama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kitimoto iuzwe buchani tu sasaItapendeza sana
Alipewa uwezo na vatican. Kuna uzi humu unaonesha manuscripts za quran zilizopo birmingham ziliandikwa kabla ya muhamed.Ni Kweli Muhammad kwa Waislam sio mtu wa kawaida kwani yeye ni binadamu alipewa uwezo wa Mungu tafauti na Binaadamu wengine
Wayahudi wanamwita Yesu Yeshua, acha uongo dogo. Hata waarabu ambao ni wakristo wanamuita Yasu. Acha kuandika upuuzi. Ukienda Israel kwenye historia utaona aliandikwa nje ya yaliyoandikwa kwenye biblia.Huyu mnaemwita Yesu ni Myahudi aliezaliwa kwa jina la Joshua, Warabu wanamwita Isa, Wayahudi wanamwita Iso, Warumi walimwita Jesus, Wagiriki walimwita Jasu, Waswahili mmeiga jina waliomwita Wagiriki na kumwita Yesu ..
Yesu hajapatwa na jambo lolote. Hao wakatoliki na hizo image ni tatizo lao binafsi na haliwahusu wakristo wote. Ile filamu ni nzuri na kila mwenye akili anajua yule ni muigizaji tu.Waislamu hawataki Mtume wao achorwe ili kuepukana na yale yaliyonikuta Yesu,
Wewe hata quran yenyewe huisomi unakurupuka tu. Huyo isa mnayelazimisha awe ndio Yesu huko kwenye quran hakusulubishwa wala hakufa maana allah alimuiba na kuweka mtu mwingine anayefanana exactly kama isa.😂😂 Halafu allah bado analaumu kwanini waliamini kama yule ni isa wakati alikuwa exactly kama yeye.Hamna kitu kinachoitwa Mungu aliehai, Yesu kafa miaka mingi iliyopita, sasa tuseme Dunia inaongozwa nani hivi sasa?.
Acha ujinga wewe ni mlokole lialia nakujuaMbona mimi nilikuwa swala tano lkn nimejisalimisha kwa Mwamposa.
Kumbe na wewe ni mama wa kiislam?Mbona mimi nilikuwa swala tano lkn nimejisalimisha kwa Mwamposa.
Amin kwamba mzee wewe hata nini kitokee muislam awezi kana iman yakeMuislamu atafanya dhambi lakini mara nyingi ni ngumu kubadili upande labda huyo awe ni Muislamu jahil wa levo ya chini kabisa.
Kama hukuwai kusoma injili huna nafasi ya kulipinga ilo mana vitabu vyote vya agano jipya vimeliweka wazi hilo...acha maneno ya kuambiwa kasome injili iko wazi sana.Sijapinga kama mwanamke bikra kupata mimba, mwanamke anaweza kupata mimba bila ya kuingiliwa na mwanamme..
Mungu anaweza kufanya chochote anachotaka, lakini unaposema Yesu ni mtoto wa Mungu,, hilo nitalipinga sana
Endelea kujipa moyo na matumaini..watu kila siku tunawavulisha hijabu na kobazi..na kukiri kuwa Yesu ni bwana wa maisha yai..bado wewe mapepo na majini yamekutesa na kukufunga.Amin kwamba mzee wewe hata nini kitokee muislam awezi kana iman yake
Usiamini kila unachokiona kwenye TV za hawa wanaojiita manabiiKama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kwanza unatakiwa ujue kuwa Biblia na Injili ni vitabu viwili tafauti..Kama hukuwai kusoma injili huna nafasi ya kulipinga ilo mana vitabu vyote vya agano jipya vimeliweka wazi hilo...acha maneno ya kuambiwa kasome injili iko wazi sana.
Hayo mambo wakristo hawajajitungia tu.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli Waislamu wanamini kuwa Isa aka Yesu aka Yasu hakusulubiwa msarabni...Alipewa uwezo na vatican. Kuna uzi humu unaonesha manuscripts za quran zilizopo birmingham ziliandikwa kabla ya muhamed.
Wayahudi wanamwita Yesu Yeshua, acha uongo dogo. Hata waarabu ambao ni wakristo wanamuita Yasu. Acha kuandika upuuzi. Ukienda Israel kwenye historia utaona aliandikwa nje ya yaliyoandikwa kwenye biblia.
Sasa leta hapa ushahidi kama Isa ni kitu gani maana wayahudi watakupa maandishi ya flavius josephus kuthibitisha Yeshua wa Nazareth aliwahi kuishi kwao.
Yesu hajapatwa na jambo lolote. Hao wakatoliki na hizo image ni tatizo lao binafsi na haliwahusu wakristo wote. Ile filamu ni nzuri na kila mwenye akili anajua yule ni muigizaji tu.
Hoja hapa ilikuwa ni kwanini waislam wafanye fujo na kujilipua kisa muhamed kachorwa? Kwanini mungu wa mohamed asimtetee nabii wake mpaka watu ndio wamtetee. Hamna tofauti na wahindi wanaobeba miungu yao mikononi.
Wewe hata quran yenyewe huisomi unakurupuka tu. Huyo isa mnayelazimisha awe ndio Yesu huko kwenye quran hakusulubishwa wala hakufa maana allah alimuiba na kuweka mtu mwingine anayefanana exactly kama isa.😂😂 Halafu allah bado analaumu kwanini waliamini kama yule ni isa wakati alikuwa exactly kama yeye.
Halafu wewe ni bogus na empty headed. Yesu Kristo alipotoka katika ule mwili haku cease to exist. Mungu ni Roho kwahiyo anatawala katika ulimwengu wa roho. Hahitaji mwili ili awe na uhai. Waislam mpo mwilini sana na kila kitu kwenu kinaishia mwilini. No wonder mtakuwa mnafanya ngono mpaka ahera.🤣 Na mungu wenu allah anao mguu mmoja.😅
Hata mganga wa kienyeji husaidia watu kwa mizimu anayoamini lakini watu wanaendelea kubaki na dini zao.Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Hahaha. Mbona huwa akiwaombea na wakapona, huwa anawauliza: Nani kakuponya? Nao hujibu ni Yesu. Sasa Yesu na uislam wapi na wapi?Hata mganga wa kienyeji husaidia watu kwa mizimu anayoamini lakini watu wanaendelea kubaki na dini zao.
Mtu anapoombewa haimaanishi anafata imani ya Mwamposa bali anafata yale anayoyafanya Ili yamsaidie.
Ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji tu.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Wizi mtupu hakuna muislam pale!!
We umeona hijabu unasema waislam
Wewe mbona umejisalimisha kwa Mohamed na kufata maagizo yake?
hao sio waislam hao..ni maigizo kama kufufua maiti na vilema kutembe...mchukue mmoja muulize au mwambie asome sur tul fath akisoma nakupa 1000k hapa hapa
Mkuu una safari ndefu sana ktk kujuwa uislam na ukristo pia,Hahaha. Mbona huwa akiwaombea na wakapona, huwa anawauliza: Nani kakuponya? Nao hujibu ni Yesu. Sasa Yesu na uislam wapi na wapi?