Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Mlango wa Ukristo ni kubatizwa! Wote wale wapo pale kufata uponyaji kama wanavyohangaika kwa waganga. Tafiti wangapi wanabatizwa?
 
Kama hukuwai kusoma injili huna nafasi ya kulipinga ilo mana vitabu vyote vya agano jipya vimeliweka wazi hilo...acha maneno ya kuambiwa kasome injili iko wazi sana.

Hayo mambo wakristo hawajajitungia tu.

#MaendeleoHayanaChama
Sijakufahamu umeandika nini,. Unatakiwa ujue kuwa Injili sio Biblia hivi ni vitabu viwili tafauti.

Alichohubiri Yesu yaani Injili hakikuhifadhiwa,. Sasa wewe hiyo Injili umeisoma wapi??

Mnachohubiriwa makanisani ni Agano jipya aka Biblia..

Neno Biblia ni neno la Kigiriki lenye maana mkusanyiko wa Vitabu..

Biblia ni mkasinyiko wa zaidi ya vitabu arubaini vilivyoandikwa na watu tafauti..

Asilimia 70% ya Biblia ni maandiko ya Paulo aka Soul

Paulo alipotosha maana halisi ya mahubiri ya Yesu, mnachofundishwa makanisani ni mahubiri ya Paulo sio Joshua aka Yesu aka Isa aka Jesus

Tafakari
 
Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
😂😂😂 kazi kweli
 
Back
Top Bottom