kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,154 Reaction score 17,491 Sep 17, 2026 #1 Kuna wakati naona watanzania hawako fair kwa Rais Samia, maana yeye hajafika hata robo ya mabaya ya watangulizi wake. Hebu msikilize Rais mstaafu Mkapa hapa. View: https://youtu.be/a4c3MQwGD0g?si=qis68AY3vgTvu9Lj
Kuna wakati naona watanzania hawako fair kwa Rais Samia, maana yeye hajafika hata robo ya mabaya ya watangulizi wake. Hebu msikilize Rais mstaafu Mkapa hapa. View: https://youtu.be/a4c3MQwGD0g?si=qis68AY3vgTvu9Lj
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,313 Reaction score 6,636 Sep 17, 2026 #2 Walaka? Unamaanisha Nini?
I IQup JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 2,042 Reaction score 3,365 Sep 17, 2026 #3 Raha ya ubaya ufanyiwe na ndugu Yako kutoka kwa ardhi yenu wenyewe, asitokee nje ya ardhi yenu tu....hiyo ndio tafsiri ambayo wengi huita ubaguzi ila ndio uhalisia😄😄
Raha ya ubaya ufanyiwe na ndugu Yako kutoka kwa ardhi yenu wenyewe, asitokee nje ya ardhi yenu tu....hiyo ndio tafsiri ambayo wengi huita ubaguzi ila ndio uhalisia😄😄