Kama kawaida, Yanga wameanza kutembelea madrasa kuelekea marudiano na El Merreikh

Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi trh 30.Dah kazi ipo
Yakobo 1:27 inasema ''Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa".

Unataka Yanga wafanyeje? Waache kusaidia watu? Wewe lini umetoa msaada. Tuache ushabiki kwenye mambo ya msingi kama hayo.
 
Msaada wa yanga ni mazingaombwe.
Fuatilia walipewa huo msaada kama kuna unafuu wowote waliopata zaidi ya wao kupatwa na majanga tu baadae.
 
Msikaze fuvu haya mambo kwa ulimwengi wa nguvu za giza ndio sehem yake
 
Kuna watu wawili wanatudhalilisha Wana Simba Hapa Jamii Forum.

Huwa sipendi sana USHABIKI WA Kijinga, kipumbavu, UTOTO.

AIBU NAONA MIMI.
MWENYEKITI WA MASHABIKI WA SIMBA JF.
Unaamini kwamba sadaka wanazotoa Uto zinadhamira safi ndani yake, na lengo lake ni kumtukuza Mwenyezi Mungu? Jidanganye.

Hivi karibuni kuna ndugu yangu ana kesi kwa Pilato. Sasa amekuwa anaenda kwa 'mtaalamu' mmoja kutafuta solution ya jambo lake (najua hata mshtaki wake naye kuna mahala huwa anaenda). Ila juzi amenishtua aliponiambia;pamoja na maandalizi mengine ya kesi, 'mtaalamu' amemwambia akatufe kituo cha watoto yatima akatoe sadaka pale, asiipeleke msikitini au kanisani, ni kituoni. Tuhuma zinazosemwa juu ya Yanga zikanijia kichwani ghafla.
 
Kwa Mimi Mkristo Imani yangu INASISTIZA sana Utoaji.

MUNGU ANAKATAZA SANA KUMJARIBU, ILA ANASISITIZA SANA KUMJARIBU KWA NJIA YA MATOKEO.

Malack. 3:10-12
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
 
NGUVU ya SADAKA au kafara ni kubwa mno.

1. Sadaka / kafara ya DAMU.
2. Sadaka Ya Fedha, yatima nk.
3. Sadaka kafara ya Moto.
 
Ndugu, hata mimi ni muumini kama wewe, hivyo uko sahihi kwa unachokisema.

Ila tunarudi pale pale; Yanga wanafanya mchezo wa kishirikina kwenye hizo sadaka wanazotoa. Siku hizi uchawi au ushirikina unafanyika kwa akili kubwa sana kiasi kwenye unaweza usigundue kwamba hiki kilichofanyika siyo kwa nia njema ya kumsaidia recipient. NA HUTAKUJA KUSIKIA WAMEZIPELEKA MSIKITINI AU KANISANI.
 
NGUVU ya SADAKA au kafara ni kubwa mno.

1. Sadaka / kafara ya DAMU.
2. Sadaka Ya Fedha, yatima nk.
3. Sadaka kafara ya Moto.
Hiyo no.2 ndo wanayoitumia Yanga hadharani kwa sasa, naamini hata za mafichoni zipo pia. Siyo kila sadaka (eg kwa wahitaji) lengo lake ni kutekeleza maagizo ya Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom