Kama kawaida, Yanga wameanza kutembelea madrasa kuelekea marudiano na El Merreikh

Kama kawaida, Yanga wameanza kutembelea madrasa kuelekea marudiano na El Merreikh

Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.

Dah kazi ipo!
Hakuna kitu kina nguvu kama sadaka, siku ukilitambua hilo, you will be untouchable.
 
muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba.
Maneno gani wanaongea kama wapo kwenye nyumba za ibada?
 
Back
Top Bottom