shida moja ya yanga na simba, ni vielements vya udini, ni kama ni timu za kiislam. kuanzia wasemaji wao wote, kwanza wana utterances nyingi sana ambazo ni biased. angalia kale kasemaji ka yanga, ahmed ally wa simba, na manara, na wengine, maneno wanayoongea ni kwasababu tu hizo timu tulikuwa tunazishabikia tangu tukiwa watoto ila kama tusingekuwa hivyo tungeshaacha kitambo sana kwasababu zinaonekana kama ni za dini fulani hata kama wachezaji mle ndani ni wa dini zote. huu ndio ukweli,wanatakiwa kujua kwamba wao kama wasemaji wa timu wanawakilisha mashabiki wenye dini tofauti tofauti/zote na wasio na dini, wazuge hata kuzuga tu basi kuwa neutral, isionekane kuanzia maneno, utani na ujinga wooote ni kama wapo msikitini.