Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba.Jerry Muro hujamuweka kwenye list
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba.Jerry Muro hujamuweka kwenye list
Malezi mabovu ndio chanzo cha vijana kama wewe, by the way kinacho mtoka mtu ndio kipo moyoni mwakeLazima niwaze kukupakua, maana si kwa hilo tackle laini ulilo nalo. [emoji848]
Hakuna kitu kina nguvu kama sadaka, siku ukilitambua hilo, you will be untouchable.Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
Maneno gani wanaongea kama wapo kwenye nyumba za ibada?muro alipokuwa msemaji hajawahi kuongea maneno kama yupo kanisani kama wanavyoongea manara, kale kadogo ka Yanga na yule wa simba.