Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yakobo 1:27 inasema ''Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa".Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi trh 30.Dah kazi ipo
huyo ndio ngulumbiliKumwelewa binadam kazi sana, mtu asiposaidia shida akisaidia shida hata wewe jifunze kutoa kidogo ulichonacho kama sadaka itasaidia sana
Msaada wa yanga ni mazingaombwe.Yakobo 1:27 inasema ''Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa".
Unataka Yanga wafanyeje? Waache kusaidia watu? Wewe lini umetoa msaada. Tuache ushabiki kwenye mambo ya msingi kama hayo.
Unaamini kwamba sadaka wanazotoa Uto zinadhamira safi ndani yake, na lengo lake ni kumtukuza Mwenyezi Mungu? Jidanganye.Kuna watu wawili wanatudhalilisha Wana Simba Hapa Jamii Forum.
Huwa sipendi sana USHABIKI WA Kijinga, kipumbavu, UTOTO.
AIBU NAONA MIMI.
MWENYEKITI WA MASHABIKI WA SIMBA JF.
Unaamini kwamba sadaka wanazotoa Uto zinadhamira safi ndani yake, na lengo lake ni kumtukuza Mwenyezi Mungu? Jidanganye.
Hivi karibuni kuna ndugu yangu ana kesi kwa Pilato. Sasa amekuwa anaenda kwa 'mtaalamu' mmoja kutafuta solution ya jambo lake (najua hata mshtaki wake naye kuna mahala huwa anaenda). Ila juzi amenishtua aliponiambia;pamoja na maandalizi mengine ya kesi, 'mtaalamu' amemwambia akatufe kituo cha watoto yatima akatoe sadaka pale, asiipeleke msikitini au kanisani, ni kituoni. Tuhuma zinazosemwa juu ya Yanga zikanijia kichwani ghafla.
Majanga yapi walipata? Hebu tuambie, Yanga wao wanatoa Kwa nafasi Yao kuonesha upendo. Hivyo vituo vina watu wanaoviendesha Yanga sio wamiliki.Msaada wa yanga ni mazingaombwe.
Fuatilia walipewa huo msaada kama kuna unafuu wowote waliopata zaidi ya wao kupatwa na majanga tu baadae.
Unaamini kwamba sadaka wanazotoa Uto zinadhamira safi ndani yake, na lengo lake ni kumtukuza Mwenyezi Mungu? Jidanganye.
Hivi karibuni kuna ndugu yangu ana kesi kwa Pilato. Sasa amekuwa anaenda kwa 'mtaalamu' mmoja kutafuta solution ya jambo lake (najua hata mshtaki wake naye kuna mahala huwa anaenda). Ila juzi amenishtua aliponiambia;pamoja na maandalizi mengine ya kesi, 'mtaalamu' amemwambia akatufe kituo cha watoto yatima akatoe sadaka pale, asiipeleke msikitini au kanisani, ni kituoni. Tuhuma zinazosemwa juu ya Yanga zikanijia kichwani ghafla.
Ndugu, hata mimi ni muumini kama wewe, hivyo uko sahihi kwa unachokisema.Kwa Mimi Mkristo Imani yangu INASISTIZA sana Utoaji.
MUNGU ANAKATAZA SANA KUMJARIBU, ILA ANASISITIZA SANA KUMJARIBU KWA NJIA YA MATOKEO.
Malack. 3:10-12
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.
Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
Hiyo no.2 ndo wanayoitumia Yanga hadharani kwa sasa, naamini hata za mafichoni zipo pia. Siyo kila sadaka (eg kwa wahitaji) lengo lake ni kutekeleza maagizo ya Mwenyezi Mungu.NGUVU ya SADAKA au kafara ni kubwa mno.
1. Sadaka / kafara ya DAMU.
2. Sadaka Ya Fedha, yatima nk.
3. Sadaka kafara ya Moto.
Capo delgado lini unaanza kubadilisha id kufuatana na wapinzani wa yanga kimataifaKuna watu wawili wanatudhalilisha Wana Simba Hapa Jamii Forum.
Huwa sipendi sana USHABIKI WA Kijinga, kipumbavu, UTOTO.
AIBU NAONA MIMI.
MWENYEKITI WA MASHABIKI WA SIMBA JF.