Thibitisha huo ushirikina wanaofanya.Ndugu, hata mimi ni muumini kama wewe, hivyo uko sahihi kwa unachokisema.
Ila tunarudi pale pale; Yanga wanafanya mchezo wa kishirikina kwenye hizo sadaka wanazotoa. Siku hizi uchawi au ushirikina unafanyika kwa akili kubwa sana kiasi kwenye unaweza usigundue kwamba hiki kilichofanyika siyo kwa nia njema ya kumsaidia recipient. NA HUTAKUJA KUSIKIA WAMEZIPELEKA MSIKITINI AU KANISANI.
Haya mambo ya "thibitisha" ushirikina uliofanyika ndo yalipelekea Mahakama za zetu zisisikilize kesi zinazohusiana na mambo hayo, japo haimaanishi hayapo. Ila kule Malawi kuna Mahakama za Wachawi.Thibitisha huo ushirikina wanaofanya.
Bila kuthibitisha naweza kusema wewe mwanga umemuua ndugu yangu na ikawa hivyoHaya mambo ya "thibitisha" ushirikina uliofanyika ndo yalipelekea Mahakama za zetu zisisikilize kesi zinazohusiana na mambo hayo, japo haimaanishi hayapo. Ila kule Malawi kuna Mahakama za Wachawi.
Aisha, uthibitisho ni kwamba hata sisi wengine tulishaenda kwa waganga na tukaambiwa tufanye kitu hicho hicho wanachokifanya Yanga.
Kuthibitisha uchawi inakaribiana na kuambiwa uthibitishe kwamba Mungu au Shetani wapo. Wewe unaweza? Kwahiyo kama hatuwezi kuthibitisha hivyo Mungu na Shetani hawapo?Bila kuthibitisha naweza kusema wewe mwanga umemuua ndugu yangu na ikawa hivyo
Wewe lofa tafta kazi acha mambo ya watuUnaamini kwamba sadaka wanazotoa Uto zinadhamira safi ndani yake, na lengo lake ni kumtukuza Mwenyezi Mungu? Jidanganye.
Hivi karibuni kuna ndugu yangu ana kesi kwa Pilato. Sasa amekuwa anaenda kwa 'mtaalamu' mmoja kutafuta solution ya jambo lake (najua hata mshtaki wake naye kuna mahala huwa anaenda). Ila juzi amenishtua aliponiambia;pamoja na maandalizi mengine ya kesi, 'mtaalamu' amemwambia akatufe kituo cha watoto yatima akatoe sadaka pale, asiipeleke msikitini au kanisani, ni kituoni. Tuhuma zinazosemwa juu ya Yanga zikanijia kichwani ghafla.
Aahaaaa,na nyie tembeleeni tuone....Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
AahaaaaaaKwahyo kumbe wakiendelea hivi, hata akija Bayern, Madrid, Barcelona etc, watafungwa kirahisi tu??? Au kuwafunga hao inategemea na kiwango cha sadaka kinachotolewa kwa wahitaji?
Na kumbe wakiendelea hivi wanaweza kuchukua CHAMPIONS LEAGUE…!!! Sasa kocha kazi yake nini mkuu…??
Unamtukana mtu lofa, ukijibiwa mapigo unaanza kulia lia. Nitakupakua kisamvu we boya!Wewe lofa tafta kazi acha mambo ya watu
Watatema bungoHuu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
Tofauti na kupakuliwa kisamvu huna kitu kingine unawazaUnamtukana mtu lofa, ukijibiwa mapigo unaanza kulia lia. Nitakupakua kisamvu we boya!
Lazima niwaze kukupakua, maana si kwa hilo tackle laini ulilo nalo. 🤔Tofauti na kupakuliwa kisamvu huna kitu kingine unawaza
sijawahi kufikiria kwamba nchi hii ina watu wenye akili ndogo kiasi hikiHuu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
shida moja ya yanga na simba, ni vielements vya udini, ni kama ni timu za kiislam. kuanzia wasemaji wao wote, kwanza wana utterances nyingi sana ambazo ni biased. angalia kale kasemaji ka yanga, ahmed ally wa simba, na manara, na wengine, maneno wanayoongea ni kwasababu tu hizo timu tulikuwa tunazishabikia tangu tukiwa watoto ila kama tusingekuwa hivyo tungeshaacha kitambo sana kwasababu zinaonekana kama ni za dini fulani hata kama wachezaji mle ndani ni wa dini zote. huu ndio ukweli,wanatakiwa kujua kwamba wao kama wasemaji wa timu wanawakilisha mashabiki wenye dini tofauti tofauti/zote na wasio na dini, wazuge hata kuzuga tu basi kuwa neutral, isionekane kuanzia maneno, utani na ujinga wooote ni kama wapo msikitini.Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
Hazina idadi mkuu,Hivi Popoma ana ID's ngapi humu jukwaani!!!
Jerry Muro hujamuweka kwenye listshida moja ya yanga na simba, ni vielements vya udini, ni kama ni timu za kiislam. kuanzia wasemaji wao wote, kwanza wana utterances nyingi sana ambazo ni biased. angalia kale kasemaji ka yanga, ahmed ally wa simba, na manara, na wengine, maneno wanayoongea ni kwasababu tu hizo timu tulikuwa tunazishabikia tangu tukiwa watoto ila kama tusingekuwa hivyo tungeshaacha kitambo sana kwasababu zinaonekana kama ni za dini fulani hata kama wachezaji mle ndani ni wa dini zote. huu ndio ukweli,wanatakiwa kujua kwamba wao kama wasemaji wa timu wanawakilisha mashabiki wenye dini tofauti tofauti/zote na wasio na dini, wazuge hata kuzuga tu basi kuwa neutral, isionekane kuanzia maneno, utani na ujinga wooote ni kama wapo msikitini.