Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Kama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
 
Mpira ameushika na ni penalty halali, Ninachosema hakua na haja ya ku uma meno wakati anaokoa. Kilicho sababisha aushike ni ku upania mpira wakati alikua na nafasi ya ku uondoa bila mguvu.
Ndo Namuuliza Na Kumshangaa Huyo Aliyeanzisha Thread Hapo Juu Akidai Sisi Tumebebwa
 
Mbona mnashinda huku bado mna makasiriko na matusi kama yote?

Tufurahie tu ushindi kwani waamuzi wameamua kupumzika mwaka huu.Bado mechi ya nusu fainali wanawasubiri.

Na sisi tunawasubiri huko wachunga ng'ombe wetu.

Michezo ni furaha.Acheni makasiriko.Kubebwa mmebebwa.Hakuna penalty pale
 
Kama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
Halafu pale pale kabla ya kuunawa kwenye replay inaonekana mchezaji wa Yanga amechezewa faulo na mchezaji wa Geita ila mwamuzi kaacha. Kuna tukio lingine mchezaji wa Geita ameushika mpira kwenye 18 mpaka wachezaji wanamshangaa refa lakini refa kauma meno
 
Msijisumbue kujibizana na kolo limeshavurugwa baada ya kuwekwa korokoroni na maafande wa polisi sasa linatafuta pa kufia, na likichingulia gape la point linavyozidi kuongezeka ndo stress zinaongezeka kabisa, na mpaka sasa ili mikia ipate ubingwa inatakiwa ishinde mechi zote 11 zilizobaki na wakati huo yanga apoteze mechi 4, ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Mbona mnashinda huku bado mna makasiriko na matusi kama yote?

Tufurahie tu ushindi kwani waamuzi wameamua kupumzika mwaka huu.Bado mechi ya nusu fainali wanawasubiri.

Na sisi tunawasubiri huko wachunga ng'ombe wetu.

Michezo ni furaha.Acheni makasiriko.Kubebwa mmebebwa.Hakuna penalty pale
Mchezaji Wa Geita Gold Alishika Mpira Au Hakuushika?
 
Back
Top Bottom