Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Heheheh Kwani Simba Imeshinda Makombe Mangapi Huko Kimataifa Ambapo Nyie Mshakomaa Kama Unavodai.
Mnajua mpira ni slogan eti the return of the champions ila manara mjanja anajua kuwakamata masikio nyie kwa mpira ule wachezaji hawana pumzi wale utachukuaje kombe bila kushiriki nyinyi kwani mpo hatua gani kimataifa baada ya kumaliza mechi yenu na Somalia mnacheza lini tena.
 
Mbona Unaleta Stori Za Shangazi Yako Tena, Mi Nimekuuliza Nyie Mliokomaa Huko Kimataifa Mmeshinda Makombe Mangapi?
 
Kama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
Umesahau goli la Mauya yule jamaa alitolea mpira ndani
 
Mechi ya leo inaonyesha yanga kucheza competition bado sana bado sana komaeni na league ila kimataifa mtaenda kuaibika kwa mpira ule.
Nyie huko kimataifa mmefanya lipi la ajabu kuizidi Yanga?
FB_IMG_16493691289181891.jpg
 
Endelea kuteseka na mech isiyokuhusu, target ni kusonga mbele na ni tayari.. shida kwa Makolo Iko palepale.
Hii ndo Yanga
 
Kwa mujibu washeria namba 13 ya soka utopolo wamebebwa na isingekuwa hivyo walishaaga mashindano

FB_IMG_16496502142625748.jpg
 
Mechi ya leo inaonyesha yanga kucheza competition bado sana bado sana komaeni na league ila kimataifa mtaenda kuaibika kwa mpira ule.
Ww yako na Polisi ndo inaonyesha ubora wako wa kushinda kombe huko Kimataifa
 
Back
Top Bottom